maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uwepo wa kanisa la Mwamposa karibu na maeneo yetu..kwa kweli tunalala kwa amani, wachawi waganga wanaumwa.wengine wamehama kabisa

    Kwa kweli Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada Yaan toka waanze ibada kanisa jipya kwa kweli kuna waganga wametesa wengi sana eneo la kawe Hivi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  3. JamiiForums Tanzania Ndio meli ipite salama maeneo ya Houthi, lazima itangaze kwamba kila mhudumu humo ni Muislamu

    Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu. Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa. ============================= 'All Crew Muslim'...
  4. JamiiForums Tanzania Israel yaanzisha mashambulizi katika maeneo lengwa ya Wahouthi huko Yemen

    Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo, iliyotekwa nyara na kikundi...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yateka maeneo mawili zaidi mashariki mwa Ukraine

    Jeshi la Urusi limesema Jumapili kuwa limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne katika mkoa wa Donetsk na Sobolivka katika mkoa wa Kharkiv. Ukraine haijatoa tamko rasmi kuhusu madai hayo ya Moscow.Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, Urusi imekuwa ikisonga taratibu...
  6. JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuchukua udhibiti wa maeneo ya Ukraine

    Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk. Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo. Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo...
  7. JamiiForums Tanzania Natamani kupima shamba langu kwa kutumia app

    Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nilioime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
  8. JamiiForums Tanzania ADC: Mamantilie,Machinga tutawapatia maeneo rasmi

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, ametoa wito kwa serikali kuweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha wamachinga, mama lishe na vijana wa boda boda na bajaji, badala ya kuwaona kama kero za mijini. Akizungumza Juni 29, 2025, katika Mkutano Maalum wa ADC wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maeneo yaliyokatwa umeme, Dsm hii tuiiteje?

    Wameanza figisu. Tanesco ijue tunamatumizi na nishati hizi. Umeme unakatwa vipi bila taarifa halafu kwa nini asb tena jumapili? Hii tunaiitaje?
  10. JamiiForums Tanzania Iran yakili baadhi ya maeneo yake ya nyuklia kuharibiwa vibaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekiri kwamba uharibifu mkubwa na mkubwa ulifanyika katika maeneo ya nyuklia ya nchi hiyo katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel. Abbas Araghchi aliambia shirika la utangazaji la serikali Alhamisi kwamba tathmini ya uharibifu huo inafanywa na...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30) 2. Eneo lililopangika vizuri 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20. Nicheki whatsap 0765137266
  12. JamiiForums Tanzania Je ni lini serikali itatua kero ya mawasiliano kwa maeneo yaliyo pembezoni mwa nchi?

    Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda Huwapo ndani ya hizi kata mitandao ya mawasiliano ya simu ni shida kiasi kwamba ukiingia tu unaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo ambayo yamepigwa kwa uhakika na Iran

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇷JUST IN: Infographic of Iran’s strikes and targets during the 12 day war with Israel: Strategic assets Iran targeted: • Al-Jalil Base; Military base in the north • Haifa Port • Haifa Power Plant • Haifa Oil Refinery • Tel Nof Airbase • Mossad HQ • Kiryah Base, Military command...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane habari za mvua: Mvua maeneo ya hapo ulipo mvua ikoje

    Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
  15. JamiiForums Tanzania Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  18. JamiiForums Tanzania Iran sasa yajipigia tu maeneo ndani ya Israel.Trump hashikiki anataka kuingilia

    Raisi Donald Trump wa Marekani hashikiki kwa hasira na kiwewe anatoa majibu yasiyo na mpangilio maalum wala hadhi za ikulu ya White House. Kisa cha hali hiyo ni kutokana na Iran kuwa na huru wa kupiga maeneo anayotaka bila kizuizi.Maeneo muhimu yaliyopigwa na Israel kukubali kipigo ni pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania IDF yaonya Wairani kuondoka katika maeneo karibu na miundombinu ya kijeshi

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimetoa onyo la dharura kwa Wairani, na kuwaambia wakaazi kuondoka katika eneo lililo karibu na vituo vya kijeshi. Katika ujumbe kwenye mtandao wa X, akaunti ya IDF ya lugha ya Kifarsi inasema: "Watu wote ... waliopo ndani au karibu na viwanda vya utengenezaji...
  20. JamiiForums Tanzania Tumeshambulia maeneo ya miundombinu ya nyuklia ya Iran - IDF

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran. Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti. Iliongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…