maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  2. Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

    Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
  3. Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

    Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani. Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa. Britanicca
  4. M

    Kwanini haya maeneo kwa Wilaya ya Kinondoni ni Kivutio cha Ajali mbaya na za Ajabu ambazo huwa hazijeruhi tu bali huua kabisa Wahusika?

    1. Kipande cha Mikocheni B kwa Warioba hadi njia panda ya Clouds au Coca Cola 2. Supa Lugalo 3. Bondeni Kawe 4. Makonde 5. Kona ya Goba ukimaliza lilipo Kanisa Katoliki 6. Afrikana 7. Mbuyuni njia panda kuelekea Kunduchi, Bahari Beach na Ununio Na kwa Taarifa tu haya maeneo yote tajwa...
  5. D

    Kuna la kujifunza kutoka kwa wadada wa kazi ( dini na maeneo wanayotoka iko nyuma kielelimu)

    Sina nia mbaya! Lakini kwa muktadha wa nadharia! Asilimia 40%-55% ya nyumba nyingi mijini zina dada wa kazi! Hivyo katika kila nyumba 100 maana yake kuna wadada wa kazi 55 majumbani! Hivyo katika makazi 10000 ya mji mmoja! Maana yake wapo wadada wa kazi takribani 55000 Hawaijui kesho yao...
  6. L

    Ajali za Bodaboda ni janga la taifa. Ajali nyingi kwa Dar ni Barabara ya Bagamoyo maeneo ya Mbezi Beach, Tegeta na Goba

    Kwa kweli wadau wa JF ajali za Bodaboda boda zitatumaliza. Kwa muda mfupi jijini Dar es Salaam kumetokea vifo vingi na ulemavu vilivyosababishwa na ajali za bodaboda. Usafiri huu unapendwa sana na akina dada lakini ni hatari sana kwani madereva wengi wa bodaboda hawana leseni na hawafati...
  7. M

    SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  8. Maeneo matano ulipo ushindani wa Rayvanny na Harmonize

    Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021. Kabla ya kusaini NLM, Mac Voice tayari ameshasikika kwenye Bongofleva kwa kipindi cha nyuma ambapo alikuwa...
  9. Fahamu: Maeneo 10 usiyoruhusiwa kutembelea duniani

    1. Mapango ya Lascaux, Ufaransa Mapango ya Lascaux nchini Ufaransa yanajulikana kama duniani kwa kuwa na moja ya michoro ya kale zaidi, yakiwa na michoro ya zaidi ya miaka 17,300 iliyopita. Michoro hiyo inaonesha mwanadamu akifuga wanyama kama ng’ombe. Lakini mapango hayo yamefungwa tangu mwaka...
  10. B

    Lema: Serikali inapaswa kuanza kutoa ajira za mikataba baadhi ya maeneo

    Kutokana na kukua kwa tatizo la ajira nchini na kushuka kwa uwezo wa serikali kuajiri, Mhe. God bless Lema kupitia space ya Maria Sarungi anashauri serikali kuanzisha mfumo ajira za mikataba ya miaka miwili ili watu waweze kupata kazi na kuendesha maisha kuliko kuendelea kung'ang'ania mfumo wa...
  11. Kabla ya wanasiasa kusema machinga ni nani, kuwapatia maeneo ni kazi ngumu sana

    Duniani kote "mmachinga" ni yule mtu anaetembeza bidhaa zake kwa kutembea nazo mikononi mwao au kwenye begi la mgongoni akitafuta waliko wanunuzi. Yaani badala ya mnunuzi kufuata bidhaa (dukani), mara hii mwenye bidhaa (duka) ndiye anaemfuata mnunuzi. Wafanyabiashara wa aina hii sio kero sana...
  12. Z

    Tujenge Kariakoo nyingine maeneo muhimu

    Kwa sasa Soko la K/koo lililo jengwa zaidi ya Miaka 40 iliyo pita limeelemewa na kuzidiwa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watu. Kila Mgeni anaye kuja Jijini anawaza kwenda kufanya biashara maeneo ya K. koo ndio maaana leo hii wamachinga wametapakaa hadi wameziba barabara na mifereji ya...
  13. P

    BEI ZA vyumba maeneo sahihi UDOM

    Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000 NB Zingatia gharama husika za huduma za kijamii pamoja na huduma mbalimbali muhimu kama maeneo ya michezo,studios nk
  14. Wanawake jihadharini Mwanaume hajaribiwi

    Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki. Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine. Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu...
  15. Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  16. Rais Samia, The Royal Tour isiache maeneo haya...

    Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour” Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
  17. M

    SoC01 Kuna funzo kutoka Japan, nchi yenye uhaba wa dustbin lakini safi kimazingira kuliko maeneo yenye dustbin katika miji yetu

    Kwa miaka takriban mitatu niliishi mjini Tokyo, Japan. Ukiachilia mbali maajabu katika mifumo ya usafiri hasa treni katika mji huo, jambo ambalo lilinistaajabisha kila siku ni jinsi mji huo ulivyo msafi ilihali ni nadra sanaa kuona dastibini au mahara pa kutupa takataka katika maeneo ya public...
  18. Ninahitaji mkopo wa million mbili tu kiwanja kipo maeneo ya kisongo kama bondi.

    Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa. Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha. Asante ni kila kitu kipo...
  19. B

    Maeneo aliyoyatolea ufafanuzi Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

    Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu Msigwa wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Serikali. Haya ni sehemu ya maeneo...
  20. Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

    Nina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo. Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba. Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…