Habari wakuu. Kama kisomekavyo kichwa cha habari, binafsi nimeanzisha shughuli ya kutangaza utamaduni na maisha ya Tanzania nikitia ndani vivutio vyote, watu na kila kitu.
Kwa sasa nimekumbana na changamoto nyingi ikiwemo kuzuiwa kupata picha za mnato kwenye baadhi ya maeneo ambapo kwa macho...