Wizi umezidi maeneo ya beach hasa silver beach jirani na kunduchi beach tunapoteza watalii

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,128
2,337
Wizi umezidi maeneo ya beach hasa silver beach iliyopo karibu na kunduchi beach

matukio ya wizi hasa maeneo ya beach yamekuwa ni kama jambo la kawaida, siku ya leo nikiwa katika fukwe za beach jiranj kabisa na beach ya kunduchi kuna eneo linaitwa silver beach pia kuna hotel inaitwa silver hotel kabla jirani na eneo hilo kuna poli au kichakaa kikubwa ambapo walitokea vijana wanne waljokuwa wamebeba mapanga kisha kuwashambulia wazungu wawili mmoja wa kike mwingine ni wa kiume..
wakachukua kibegi kidogo walichokuwa nacho..
tulijaribu kwenda kutoa taarifa kwa suma jkt waliopo hapo silver beach hawakuonesha ushirikiano wowote ni kama wameshazoea wizi huo kwa kusema sio eneo lao la kazi..
upande wa kulia wa eneo hilo kuna walinzi wa tawi la chuo la UDSM linalohusu na masuala ya bahari .

wna tabia hiyo imekuepo na wakazi wa hapo wanawafahamu kabisa .. Lakini hakuna msaada wowote uliofanyika..
mzungu wa kike ni mwenyeji anakaa hapa masaki, mzungu wa kiume ametoka boston..na kilekubegi kilikuwa na document zake muhimu ikiwemo taarifa zake muhumu za ukaaji wa hapa .

inasikitisha sana kuona matendo haya yakiendelea..

TUMEREPORT POLISI
 
Kama hujaripoti kituo cha polisi basi umekuwa Raia asiyejua wajibu wake.
 
Kwaza kwanini msinge wakimbiza hao vijana yani vijana wawili wawashinde kundi la watu mliop hapo ungeitisha mwizi uku unawafwata ungeona kama response ingekuwa ndogo ni upumbav
 
Back
Top Bottom