maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Afisa Maendeleo Kata ya Sombetini anaomba rushwa kwa wanavikundi walipata Mkopo

    Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa maendeleo kwa Vijana na wenye maisha ya chini ni BETTING.

    Habari zenu? Nimekaa na kufikiria kitu ambacho kina ukweli ndani yake, kitu kinachorudisha maendeleo ya vijana chini ni kamari. Leo ukipoteza 1000 baada ya siku 10 ni 10,000. Baada ya siku 100 laki 1. Hapo unajikuta ndani ya siku 100 umeshinda mara 3. Maana kuna watu wana lost zilizokithiri...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

    Mwaka 2025 kulitokea vurumai nchini Israel pale kundi la wanazuoni wa Kiebrania wajulikanao kama Haredi lilipotakiwa kujiunga na jeshi la nchi hiyo kisheria. Hoja kubwa iliyojengwa na Serikali dhidi ya kundi hilo ni kwamba hakuna sababu inayozuia wao kujifunza mambo ya dini yao wakiwa kwenye...
  5. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wazee: Liundwe Baraza la Taifa la Vijana kuchochea MAENDELEO na UZALENDO

    Miongoni mwa maazimio ya wazee waliokutana leo kujadili kilichotokea Oktoba 29 ni kuundwa kwa Baraza la Taifa la Vijana litakalolenga kuleta maendeleo na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana. Kauli hiyo imetolewa leo, Januari 22, 2026.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026) Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

    Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili aweze kufanya mitihani ya mwisho wa semester. Nikabaki nasikitika tu. Huyo binti ana wazazi/walezi na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna Taifa linaloweza kuwa na maendeleo endelevu bila usimamizi mzuri wa haki

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayofanya tohara kwa wanawake yana maendeleo duni, lini yatabailika ?

    Ukifuatilia makabila yanayoanya tohara bado yapo nyuma sana kimaendeleo
  12. feyzal

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

    Wakuu kheri ya mwaka mpya. Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara. Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa...
  13. SangaMiliki

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  16. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Bora angeendelea kutawala Malkia tu sasa hivi nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana

    Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa maana ya kwamba walikuwa hawajui haya mambo yalitakiwa ya fanywe miaka ya 90 huko? Au ndio wanaangaika...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika nimewakatia tamaa kwenye uongozi na maendeleo ya umma, Bado tuna damu za kutawala kichifu

    Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda. Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga, Hapa kwetu siwezi...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Udikteta uharibu uchumi demokrasia huleta ubunifu na maendeleo

    Jamii nyingi zilizoendelea Duniani huwa na aina Fulani ya demokrasia. Na jamii nyingi maskini Duniani hujawa na mfumo wa kidikteta. Mifumo ya kidikteta huzaa viongozi walafi, katili na wasiowekeza kwenye jamii zao zaidi ya kuwekeza kwenye familia zao. Marekani kwa sasa wana kiongozi dikteta...
  20. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC, Maendeleo ya Kesi ua Uhalifu dhidi ya Utu

    Mahakama ya ICC Inasema ilipokea mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi hiyo ilifunguliwa na taasisi za kimataifa zinazotetea haki za binadamu, ambapo mashtaka makubwa ni pamoja na: 1. Mauaji ya maelfu ya waandamanaji 1. Utekaji, mauaji na upotezaji wa wapinzani wa kisiasa, wanaharakati...
Back
Top Bottom