Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani.
Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks.
Kila API ilikuwa kama mlango wenye funguo tofauti—na kupata kila kitu kifanye kazi pamoja ilihitaji muda, pesa, na nguvu kubwa...