maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Adui wa maendeleo ya simba sio yanga wala TFF, adui ni kuamini ktk mambo ya kale kilimo cha pdf kipo simba

    Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali Kutenga Fedha Ujenzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii Kwenye Mikoa

    "Je, ni lini Serikali itakipandisha hadhi Chuo cha Maendeleo ya Jamii Musoma ili kiweze kutoa Shahada" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) "Ili Chuo kiweze kufikia elimu kwa ngazi ya Shahada kinatakiwa kiwe na ithibati kamili n vigezo stahiki ikiwemo miundombinu...
  4. JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 23 Zimeelekezwa Kwenye Miradi ya Maendeleo Wanging'ombe

    NAIBU WAZIRI DUGANGE: BILIONI 23 ZIMEELEKEZWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO WANGING'OMBE ZAIDI ya Sh. Bilioni 23 zimepelekwa katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya afya, elimu na barabara katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais...
  5. JamiiForums Tanzania TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Habari ya leo wadau. Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata ufadhili kutoka kwa EU na Shirika la Maendeleo la Ufaransa kwa ajili ya Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Kakono

    Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limesaini mkataba wa kushiriki katika kufadhili ujenzi wa Mtambo wa Kufua Umeme wa Kakono Nchini Tanzania. Kupitia makubaliano hayo Umoja wa Ulaya (EU) na AFD zitachangia kwa pamoja Euro Milioni 146 ambayo ni karibu nusu ya jumla ya gharama ya Euro Milioni...
  7. JamiiForums Tanzania Ubaguzi, Uchawi na Ushirikina kikwazo cha maendeleo baadhi ya vijiji Tanzania

    Habari yako mwana jukwaa. Naandika uzi huu nikiwa Katikati ya Tanzania (kanda ya kati). Nimeishi hapa kwa miezi 4 sasa, kwa hiyo ninacho andika nina kifahamu vizuri kwa kushuhudia kwa macho yangu. Naishi kwenye mkoa wa 3 toka mwisho kwa umasikini nchini hapa, mkoa ambao elimu iko chini sana na...
  8. JamiiForums Tanzania Watawala msipobadilika basi mtabadilishwa kwa lazima

    Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna. Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo jambo la msingi kuliko kuwaletea maendeleo wananchi. Vyombo vyote vya ulinzi/ majeshi yote limeweka...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

    Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini. Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya. Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi? Ni hayo tu.
  10. JamiiForums Tanzania Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna safari ndefu na ngumu sana chini ya CCM

    Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi. Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi, wanasiasa na wafanyabiashara wazaliwa wa SINGIDA, Manyara na Kagera ni chanzo kikubwa cha umaskini kwenye mikoa yao

    Kila ukipita Singida unaona hali ni ileile miaka nenda rudi same applies to Manyara. Na hapa tunapita mjini hata maji ya kunywa shida, ukienda huko wilayani kisha vijijini hali ni mbaya zaidi. Mkoa wa Kagera ni moja ya mikoa maskini nchini kwa sasa. Pamoja na hali ya hewa nzuri na kuzalisha...
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa mkoa wa Lindi wameridhia kumpa muwekezaji hekari 1000 kwaajili ya uwekezaji

    Wakazi wa mkoa wa Lindi wameridhia kumpa muwekezaji hekari 1000 kwaajili ya uwekezaji. --- Mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka 12 baina ya Mwekezaji pamoja na Wananchi wa Kijiji cha Kichonda katika Halmashauri ya Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi umetatuliwa na Naibu Waziri wa Ardhi Geofrey Pinda...
  15. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ikiwa Rais ndiye anatoa pesa zake kwa maendeleo ya nchi, Serikali inapeleka wapi kodi zetu?

    Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu. Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Hatuwezi kufikia Dira ya Maendeleo 2030 ikiwa mamilioni ya Wasichana wataendelea kukeketwa

    Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kupinga ukeketaji amesema mpango Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, hauwezi kufikiwa kwa mafanikio kama vitendo vya ukeketaji wa Wanawake...
  18. L

    JamiiForums Tanzania AIIB yachukua nafasi kubwa katika maendeleo endelevu barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika. Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko aeleza Kilimanjaro ilivyonufaika na fedha za miradi ya maendeleo

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AELEZA KILIMANJARO ILIVYONUFAIKA NA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO "Mheshimiwa Rais ametupatia fedha kwaajili ya ujenzi wa kuimarisha vituo vya afya na utoaji huduma katika Zahanati 35 katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo ametupatia Shilingi Bilioni 2.59 na Shilingi bilioni 4...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa watumishi hawa wa umma, umma usahau kuhusu maendeleo

    Ni chaguzi kuu 6 sasa zimefanyika hapa nchini tangu tupate Uhuru. Ahadi kutoka vyama vyote kwenda kwa wananchi ni zilezile maji, barabara, elimu, na afya. Kwa watumishi hawa ninaowafahamu Mimi kwa miaka 8 sasa wananchi hawatakuja kupata utoshelevu wa mahitaji ya elimu, maji, umeme, miundombinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…