MAELFU ya wananchi mkoani Kagera, wamejitokeza kwenye Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera na kushiriki hafla ya kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Dua hiyo imefanyika leo (Julai 28,2023) ikifanyika katika kipindi ambacho Rais Dkt. Samia anaungwa mkono...