maelekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma. Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
  2. CCM yatoa maelekezo kumaliza sintofahamu ununuzi wa mahindi Songea

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa kuhakikisha wananchi wote waliokwisha kuorodheshwa Mahindi yao yananunuliwa pamoja na kuongezwa kwa kituo kimoja cha ununuzi wa...
  3. J

    CCM yashusha maelekezo mazito bandari ya Mtwara

    CCM YASHUSHA MAELEKEZO MAZITO BANDARI YA MTWARA Ijumaa Sept 17, 2021. "Pamoja na uwekezaji huu mkubwa wa takribani bilioni 158.8 za kuboresha bandari hii ya Mtwara ni ajabu haitoi huduma kama ilivyokusudiwa" shaka Mwenezi Taifa "Sababu ikiwa ni urasimu na hata hujuma zinazofanywa na baadhi...
  4. CCM yatoa maelekezo matatu kwa Serikali, ahueni kwa wakulima wa mahindi nchini

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MAELEKEZO MATATU KWA SERIKALI, AHUENI KWA WAKULIMA WA MAHINDI NCHINI. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maelekezo matatu kwa Serikali kuhusu ununuzi wa mahindi ya wakulima, vituo vya kununulia mahindi pamoja na bei ya mbolea nchini. Maelekezo hayo yametolewa...
  5. IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake. Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
  6. Katibu Mkuu wa CCM atoa maelekezo matatu mahususi kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali nchini

    TAARIFA KWA UMMA KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
  7. C

    Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  8. Msimlaumu sana Mwigulu, pengine anafuata tu maelekezo

    Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea tunayemwelekezea mashambulizi hayo. Wanasema kila zama na kitabu chake. Wakati wa enzi za Mwendazake, taifa...
  9. B

    CCM yatoa maelekezo mahususi kwa wizara ya maliasili na utalii

    Chama Cha Mapinduzi kimesema kinathamini, kinaheshimu na kuuunga mkono uhifadhi wa maliasili na uoto wa asili katika hifadhi za taifa, mapori ya akiba na misitu nchini. Pamoja na hayo kimesema uhifadhi endelevu unahitaji ushirikishwaji mkubwa wa jamii na uzingatie mahitaji ya msingi ya...
  10. Naomba maelekezo ya kupika chainizi

    Kwa anayefahamu kupika chainizi tamu naomba anipe maelekezo, nahitaji ladha.
  11. Kwanini Makuzi ya Mtoto wa Kiafrika 100% ni Bakora na Adhabu, ila ya Mzungu ni 100% Maelekezo na Ushauri?

    Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi? Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa...
  12. Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  13. CCM: Maelekezo ya chama kwa Serikali katika Wizara ya Fedha

    Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa Bajeti yake ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kuzingatia kuwa Wizara ya Fedha na Mipango ndio kitovu cha mipango yetu ya maendeleo na pia, ndio wizara inayohusika na uwezeshaji wa...
  14. D

    Makamanda wa Polisi kupambana na ujambazi kwa maelekezo ya wanasiasa inakupa tafsiri gani?

    Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
  15. S

    CCM yatoa msisitizo na maelekezo kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MSISITIZO NA MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI SEKTA YA MIFUGO Chama Cha Mapinduzi CCM kimetoa pongezi kwa Wizara ya kilimo na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitisha makadirio na matumizi ya Wizara hiyo...
  16. Bodi ya Ligi yatoa tamko kuhusu sakata la mechi ya Simba na Yanga

    Kile kilichotokea Jumamosi ya tarehe 8 na kauacha sintofahamu mpaka mda huu idara husika zinazidi kuchanganya wapenda kabumbu kwani TFF wanadai ilipokea taarifa kutoka bodi ya ligi leo hii bodi ya ligi inadai TFF, tusubirie kikao cha leo.
  17. B

    Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
  18. J

    Dkt. Ndugulile atoa maelekezo juu ya kuboresha mifumo ya TEHAMA nchini

    DKT. NDUGULILE ATOA MAELEKEZO JUU YA KUBORESHA MIFUMO YA TEHAMA NCHINI Na Faraja Mpina, WMTH, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula kuitisha kikao cha wadau wataalamu wa Mifumo ya TEHAMA...
  19. C

    Naomba Maelekezo namna ya kununua kontena tupu

    Habarini wadau, Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni. Nawasilisha.
  20. K

    Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…