madhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    Social medias zimeanza kufanye 'Shadowbanning' ili kufifisha zinazoonyesha madhaifu ya US-ISRAEL katika uwanja wa vita

    Watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameanza kulalamikia ongezeko la uminywaji wa taarifa hasa za mlengo pinzani huku zikisukumwa zaidi vyombo/page au watu binafsi wanaoengemea upande wa pili.
  2. Damaso

    Je ni sahihi kwa wanawake kuonesha madhaifu ya ulemavu wa watoto wao?

    Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
  3. Tundusami

    Ukiona mwanamke anakukwepa kukupa tendo la ndoa mpaka umuoe ujue huyo ana madhaifu ataki uyajue utamuacha

    Yani uyo mwanamke kakaa kijanja anajua kwa madhaifu aliyonayo ukimfunua tu mara moja utotaka kurudia tena ndo maana anakunyima iyo ni defensive mechanism yake Mwanamke anayejiamini na uanamke wake hamnyimi boyfriend wake eti mpaka waoane.
  4. Zee la madawa

    Ukiachana na madhaifu yake yote ila Ndugu Jakaya Kikwete alikuwa rais wa tofauti sana na je logic ya kuondoa bendera ya Chadema kwa Mtei ni ipi?

    Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho. Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
  5. mcTobby

    Kikwete na madhaifu yake yote ya kibinadamu hakufikia hii stage

    Siwezi sema hakukuwa na matukio ya matumizi ya vyombo vya dola kutumika visivyo kwa maslahi ya Ccm[ kwa state party yoyo duniani hiyo ni 3.14]. Na wala siwezi sema utawala wa kikwete haukuwa na makandokando kama ilivyo serikali zingine duniani lakini HAKUFIKIA STAGE YA KUPOTEZA WATU NA...
  6. Mr Why

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
  7. D

    Watoto wanajua madhaifu ya baba tu, kwaninii?

    Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja, Wanaume hatujajaliwa kuongea saana, na hata ukiongea kwa watoto madhaifu ya mama yao itakusaidia ninii? Kuish na...
  8. Q

    Mbowe na Lissu, Uwezo wao na Madhaifu yao

    Copy & Paste from Twitter. MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO SIFA ZA MBOWE 1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii. 2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu 3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala. 4...
  9. M

    Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Pamoja na madhaifu ya Kanisa Katoliki lakini kwenye kipengele cha kukemea na kuonya watawala ambayo ni Kazi ya kinabii na kitume, Hongereni Sana

    Kwema Wakuu! Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine. Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko matakatifu ya Biblia. Hiyo inatufanya tuwakalie kooni watu wa dini na madhehebu mengine yasiyofuata...
  11. M

    Kuna watu wanatumia madhaifu yako kujinufaisha kwa mgongo wa kukusaidia

    Ushindi mwingine ni kufahamu udhaifu wako ni upi na uimara wako uko wapi ukijua hilo kwa sehemu wewe ni mshindi na itakusaidia kujua nani anataka kutumia udhaifu wako kwa manufaa yake. Kuna watu ni wajanja sana wanachokifanya ni kukusoma tu kujua eneo lako dhaifu na kufuatilia je unafahamu...
  12. GENTAMYCINE

    Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

    Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea. Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano...
  13. J

    CHADEMA isijifiche katika uchaguzi wa Marekani, Lissu aeleza madhaifu yao

    CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu wa taifa jingine. Kuna kamjadala kaovyo kidogo kututoa katika mstari wa kujadili mambo yetu! Trump...
  14. B

    Mke kumuhadithia mwanaume baki madhaifu ya mume

    Habari wakuu, natumai mko poa wa afya. Nina mke wangu nimeishi nae takribani miaka 8 Mwaka nyuma alipata kibarua ila huko kazini yupo na jamaa fulani hivi ila chakushangaza imefikia hadi hadi madhaifu yangu anamuhadithia huyo jamaa. Mtaniaamehe mimi sio muandishi mzuri naomba hoja na mawazo...
  15. Soul21

    Walimu tusitumie madhaifu ya wazazi kutukana watoto pale wanapokosea

    Picha: Pinterest Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake. Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na matendo ya mzazi au wazazi wake hasa yale ambayo si chanya kwenye jamii kwani kwa picha yake na jinsi...
  16. M

    Pamoja na Madhaifu yake, Rais Samia kakomaa Kidoplomasia ya Kinataifa kuliko Magufuli.

    Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia. Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika kinyang'anyiro hiki. Hatimaye Kashinda mbele ya Senegal, Nigeria na ndugu zake Niger. Ushindi wa...
  17. covid 19

    Usione nakubembeleza sana ukahisi sina kazi za kufanya, ni mapenzi tu kuna siku nitachoka kuyakumbatia madhaifu yako

    Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yote sieliwi nawaza misabwanda tu. Hii kauli ilibadili maisha yangu sana. Nikawa mpolee na familia.. Wewe uliambiwa kauli gani na mwenza wako ukabadili maisha yako ya mahusiana?
  18. S

    Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi. Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao. Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea mtoto na kumuacha...
  19. O

    SoC03 Madhaifu ya Utawala wa sasa

    Tanzania ni moja ya nchi zinazokabiliwa na changamoto kubwa katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hali hii inatokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi katika taasisi za serikali, rushwa, ukosefu wa uhuru wa vyombo vya habari, na udhaifu katika mifumo ya sheria na...
  20. Lanlady

    Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

    Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo! Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe. Au wewe...
Back
Top Bottom