madhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hizi ripoti mbili za CAG zinaonyesha madhaifu ya utawala wa Magufuli. Je, zinazofuata zitaruhusiwa kuonesha madhaifu ya Rais Samia?

    Kashfa nyingi za ripoti ya CAG kwa mwaka jana na mwaka huu zimetendwa wakati wa Magufuli; ndege, nishati, mashirika ya umma ikiwemo TTCL yanatuhimiwa kuiba au kusababisha upotevu wakati wa Magufuli. Hii nikutokana na ukweli kwamba maelekezo yalikuwa mengi kuliko utaratibu. Maelekezo na speed ya...
  2. Jemima Mrembo

    Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

    Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili. Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa. Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
  3. B

    Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku

    Wanaume wachepukaji nina swali Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wake zenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu? Wake zenu wanaingiaje hapo
  4. DELETED ACCOUNT

    Mohammed Hussein ni moja ya mzigo na udhaifu wa Simba

    Katika tathmini yangu ya uchezaji na mchango wa Mohammed Hussein kwa timu ya Simba, uchezaji wake umekuwa unaleta makosa mengi kwa timu. Mfano katika mechi ya leo, Zimbwe alifanya makosa mengi sana. Yaani inafikia wakati kila akipata mpira, unategemea kuna ujinga ataenda kufanya. Akiwa anakaba...
  5. Carlos The Jackal

    Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  6. DMmasi

    Tamaduni zetu za kisasa kwenye jamii na madhaifu yake

    SEHEMU YA KWANZA Habari zenu wana jamii wenzangu natumai muwazima wa afya, kwa walio na changamoto mbalimbali poleni sana niseme tuu ikiwa tunaishi tumaini lipo tusikate tamaa. Baada ya salamu ningependa kutoa ufafanuzi mfupi juu ya uzi ninaokwenda kuushusha. Kwanza huu ni mtizamo binafsi...
  7. M

    Hivi ni kwanini viongozi wa Yanga SC wanapenda kusema wameonewa wakati madhaifu ni yao na ushamba wao?

    Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni. Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa...
  8. Bess

    Pamoja na mafanikio, Madhaifu makubwa yatajwa kwa idara ya intelijesia ya Marekani

    Idara hii iliweza kuthibitisha pasi na shaka kwamba Russia itaivamia Urusi, japo ikakosea ama haikuwa na uwezo kujua muda Mrussi atakaotumia kuiteka Kyiv. TaarifA iliyokuwepo ni Russia kumaliza operesheni yake ndani ya siku kadhaa tu ama wiki huku wanasiasa wengine wakitia chumvi kwamba...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Pamoja na madhaifu yao, watu wa Pwani ni watu poa sana

    Kwema Wakuu! Kwa ambao hawawajui watu wa Pwani na hawajawahi kufika Pwani naomba kuwajuza tuu, watu wa Pwani ni mikoa ya Tanga, Pwani yenyewe, DAR, Lindi, mtwara, Visiwa vya unguja na pemba,na kidogo Morogoro. Watu hawa bhana mbali na udhaifu wao lakini wapo poah Sana. Madhaifu Yao makubwa ni...
  10. P

    Hivi nina Madhaifu gani mimi?

    Wakuu, jambo likikuchanganya ni bora kushare ili upate mawazo mapya. Mimi nimehitimu chuo miaka 8 imepita. Kipindi chote cha masomo tangu darasa la kwanza nina rekodi nzuri ya ufaulu na uwezo wa kufanya mambo mbali mbali hasa ya kiubunifu, n.k. Mara baada ya kuhitimu nilifanikiwa kupata kazi...
Back
Top Bottom