madalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Kwanini Madalali kwenye Masoko wana nguvu kiasi hiki? Wakulima tunaumizwa

    Kwanza kabisa nipeni kiti nikae nifute machozi mkulima mimi! Hivi hawa madalali kwa nini wana nguvu kiasi hiki? Kwa nini wanaruhusiwa kuwepo licha ya unyonyaji wanaotufanyia wakulima? Ni huzuni sana, kilimo kimezungukwa na utapeli ambao unakaliwa kimya, wakulima tunaumia Mkulima nahangaika...
  2. S

    Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Cha kusikitisha ni kuwa wawekezaji wanakwama kwa stockbrokers ambao ndio wanahusika kumnunulia au kumuuzia hisa...
  3. J

    Inasemekana upigaji kwenye mradi wa BBT ndio umemuondoa Bashe

    Salut kwenu waungwana! Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million. #December 9
  4. DuaZaMama

    GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati tofauti, Bwege amekuwa akitoa kauli zenye uzito wa kisiasa, kijamii, na hata kiitikadi. Soma Pia...
  5. Waufukweni

    GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa...
  6. M Hacker

    Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  7. Masalu Jacob

    Wapiga debe na madalali wa watoza ushuru waliojificha

    Habari Tanzania ! Nauliza swali. Hivi hawa Raia wanaojihusisha na hizi kazi mbona wanatoza ushuru binafsi pasipo mamlaka husika kujua, je hii ni sawa kwa maendeleo ya nchi? Karibu
  8. Busu la Kenge

    Bodi ya Ithibati iangaze pia Kwa madalali

    Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali. Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria? N'yadikwa
  9. Expensive life

    Madalali Dar, walalama wachina kuingilia kazi zao

    Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina, wanaodaiwa kufanya biashara ya udalali wanapoingia nchini. Akizungumza na Swahili Times, Kaimu Katibu...
  10. BLACK MOVEMENT

    Hadi Madalali wa Kichina? Shida huenda ni uzezeta wa Watanzania, Mbona Nairobi hawapo hao Wachina?

    Watanzania tusipo ukana ukondoo na ubwege ipo siku hawa wageni watatushikisha ukuta. Nimeshangaa sana kwamba kumbe kuna wachina wanatoka China wanakuja kufanya biashara za Udadali Tanzania. Mbona Nairobi moja ya jiji ambalo ni kubwa sana Kibishara mbona Wachina hawaendi kufanya kazi zinazo...
  11. excel

    Ila madalali watu wabaya sana! Kuwa makini sana unaponunua vitu ukiwatumia madalali

    Madalali ni watu wabaya sana. madalali hawana UTU kabisa. ...... Usipokuwa makini Dalali anaweza kukuuzia kitu cha laki 1 kwa shilingi laki 3 ....
  12. Binti wa zamani

    Wenye experience na madalali naomba mnisaidie mshangazi nisije kuingia chaka

    Leo nimetega job naenda kuangalia eneo linauzwa huko bahari beach lina document zote so sina wasiwasi kama ni utapeli. 

 Sijawahi kudeal na madalali, hivi huwa inakuwaje, nini niwe nacho makini na nikifahamu kabla sijaenda kutazama eneo? 

Nasikia ukisharidhia, huwa wanataka 10% commission...
  13. Masoud06

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
  14. Financial Analyst

    Madalali washafanya yao tayari

  15. ELI COHEN

    Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

    Ila wabongo, aya bwana.
  16. M

    Madalali na wapiga debe wapigwe marufuku nchi Tanzania

    Hao watu wamekuwa wasumbufu sana, wezi na wapigaji sana, wamekuwa wakiongeze bei ya vitu hali inayosababisha ugumu wa maisha. Mfano mpiga debe analipwa kila kichwa anachopeleka kwenye gari hizi pesa zinakuwa za huyo msafiri mfano nauli ingeweza kuwa 10000 inapanda mpaka 12000 ili mpiga debe...
  17. K

    TRA inakusanya kodi hadi kwa Maduka ya Mtaani wakati Madalali wapo Mitaani wanaingiza fedha ndefu bila makato yoyote

    Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10. Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
  18. A

    KERO Lugha za baadhi ya madalali wa nyumba mitandaoni hazina maadili na huweza kuleta athari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
  19. Mr Alpha

    Madalali waiponza yanga

    Niliwahi kuonya habari ya madalali kwenye soka letu, nikaonya tabia ya kupenda vitu vya bei nafuu hatimaye naona Yanga wameingia kwenye mtego, wameenda kuchukua kocha wa bei nafuu, kocha wa viwango vya baba levo Nashauri aliyewapa Yanga wazo la kumtimua Gamondi na kumleta huyu kanjanja akamatwe...
  20. M

    Wakuu wa Mikoa wanapogeuka madalali wa kutangaza biashara za makampuni

    Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo yakifanyika, bila shaka anatambua wazi kuwa anapigia debe kampuni ya magari ya Landrover. Hasa...
Back
Top Bottom