Habari maboss
Nyumba inauzwa Msasani karibu na kituo cha standi ya daladala.
Kituo kinautwa macho bila Shaka ni standi maarufu sana msasani.
Nyumba inaangalia barabara ya Lami.
Kiwanja cha nyumba ni skwata.
Hakuna mgogoro wowote
Bei ni milion 500
Kwa maongezi ya Bei utaongea na wenye...
CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu waliisubiri sana hii siku waonyeshe rangi zao halisi, Kinachoendelea ni vita kubwa ya kiuchumi...
Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
afya
amani
amani na mshikamano
baada
dola
halali
hapo
haya
hii
jamii
kudumisha amani
macho
mapinduzi
mimi
moto
nchi
njia
uchaguzi
unajua
utekaji
viongozi
vyombo
vyombo vya dola
wapumbavu
Usingizi umepotea ukiwa Dodoma basi tuambie kinachoendelea toka saa 23hrs hadi muda huu?.
Nimepita hapo naelekea Singida nyuma nasikia kimewaka kwenye baadhi ya mitaa, kuwa njugo zina rushwa ovyo!.
Je, ni kweli ?.
Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.
Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje?
CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
Hamjambo!
1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini.
Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano.
2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki.
3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya.....
https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/
Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia....
Wakati hatuna ambulance za...
Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.
Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama. Yaani demokrasia sio tena suala la kufuatwa kwa principles bali ni namna mtu anavyoona inafaa...
Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo.
Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
Kama ni kweli hawa watakuwa binadamu wa namna gani?!!! Inakuaje watu saba wamuingilie mtu, tena kinyume na maumbile halafu anakenua tu?!! Hiyo double anal penetration (dap) nayo sielewi tu.......mpaka mtu afanye hivyo (uume mbili kuingia kwa pamoja njia ya haja kubwa) binadamu huyu alikuwa...
Wadada, jifunzeni kulegeza macho ili kuboresha mahusiano yenu.
Hapa nawaza, nitapata hela wapi nimpate mrembo mmoja wa huko Canada, baada ya kunilegezea macho.
Haloo, nitajenga mwakani, kwa sasa nyumba si kipaumbele, ni kula vitu vizuri kwanza.
Kazi kwenu.
According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to...