machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

    Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!! Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!! Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!! Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu...
  2. JamiiForums Tanzania Machawa msiotumia akili mjihoji, Kama Polepole na ndugu zake wanafanyiwa hivi je kwa vidampa wasio na mbele au nyuma?

    Mnapiga kelele hovyo na kupaza sauti kutetea uovu kisa tu mnapata posho. Kila kukicha mnashadadia mambo ya ajabu yasiyo na kichwa wala miguu. Mnaona kifo cha watu kama mzee kibao ni kama panzi aliyeuliwa na watoto wakicheza. Mjihoji sana. Kama mti mbichi unatendewa hivi je kwa mti mkavu?
  3. JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo tu isitumike kuwakebehi Machawa wa Mama na CCM tumuachie Mungu

    Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika. Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa. Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
  4. JamiiForums Tanzania Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
  5. JamiiForums Tanzania waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa ndani wako juu ya mawe hawalipwi kwa wakati, pesa zinaenda kwa machawa

    Hii nchi inaendelea kushangaza dunia baada ya kuwapa kazi wakandarasi wa ndani na kuwatelekeza bila kuwalipa huku machawa na watu wanaosifia viongozi wakimwagiwa pesa za kutosha ili waendelee na kwmpeni za kusifia viongozi.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jipya Juu Ya Uso Wa Nchi. Kumbe Machawa Walikuwepo Tangu Kale, Na Walikwishalaanika

    Siku zote tumekuwa tukisema wale machawa wa mama mama mama, ni watu waliokosa akili maana hakuna mwenye akili anayeweza kukubali kuwa chawa, kumbe machawa wamekuwepo tangu kale, na Bwana, Mfalme wa Mbingu na nchi alikwishawalaani. Leo nimelifikia neno la Mungu linaloweka wazi kuwa uchawa ni...
  8. 4

    JamiiForums Tanzania Nyie machawa ,mbumbu je mwajua Samia kabla ya kuwa mkuu wa wanchi amenya kazi na mh lissu

    Wana jf anani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Nipo na swali nyie machawa hasa mjiangushao juu ya majukwaa kwa mamziki ya kijinga, tz imekua na wanamziki wengi sana ,mpaka sasa hakuna mwanamziki hapa tz amevunja record yao kwa tunzi labda maokoto tu. Sasa sikilia Samia na...
  9. JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwenu Watanzania wa X( Twitter), Machawa wameanza kutoa milio. Endeleeni kufinya hivyo hivyo

    Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna familia ya kiongozi au watoto zao ambao ni machawa

    Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii na unapozidi kushabikia na...
  11. JamiiForums Tanzania Jee hii video ni jibu toshelevu kwa machawa?

    Huyu jamaa kajibu hoja za machawa dhidi ya wakosoaji wa watawala? 👇
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

    Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa Machawa: Simameni Muhesabiwe, Ni heri ukae kimya kuliko kuropoka uwaridhishe wachache. Nyakati zimebadilika

    Napenda kuwashauri wale machawa, wanaolipwa kuwatetea watawala wanaokandamiza na kutesa wananchi. Machawa Wanaoishi kwa kujipendekeza kwa watawala na matajiri ili waishi huku kundi kubwa la Watanzania likiteswa na maisha magumu, ukosefu wa ajira, uchumi mbovu na huduma mbovu zinazotokana na...
  14. JamiiForums Tanzania Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

    Humu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
  15. JamiiForums Tanzania Nilikua najua masihara issue ya unfollow machawa. Nikachukua sample ya Milard Ayo. Aisee namba zinatembea!

    Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia) Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi: Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje? Ngoja nifuatilie hii.
  16. JamiiForums Tanzania Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  17. JamiiForums Tanzania Fadlu hana Kosa na naomba asifukuzwe Simba SC yangu ila Machawa hawa wa Simba SC wakae mbali na Timu kwani pia ni sehemu ya tatizo

    1. Mzaramo 2. Mandala 3. Kisugu 4. G64 5. Friji Bovu Hawasemi ukweli na hawajui mambo ya Kiufundi, ila wanachojua ni Kudanganya, Propaganda na kujikomba kwa Tajiri na Uongozi ili wawe katika Payroll yake na wawe na uhakika wa kusafiri na Timu kwa kulipiwa Tiketi kila inapoenda.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

    Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha. "Lakini...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

    Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
  20. JamiiForums Tanzania Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi

    Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi. Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…