machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tukimaliza Ikulu tunaenda kwa machawa wote. Tunaanzia Ofisi za Azam, Efm, Clouds Tv na ITV

    Machawa wote lazima wafundishwe kusema kweli daima na kusimamia ukweli siku zote. Machawa wote na vyombo vyao vya propaganda lazima tuwafundishe adabu
  2. JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtu anajua maana ya neno Utu au analiongea tu hilo neno?

    Kila siku nilikuwa nawaza huyu mtu anajua maana ya "UTU" au analiongea tu hilo neno, ndiyo ubaya wa kuzungukwa na MACHAWA Alikuwa na nafasi mzuri kaichezea mwenyewe hana wa kumlaumu. Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  3. JamiiForums Tanzania Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ila madem wa Bongo si muweke mgomo msiwape Uroda hawa Machawa labda itasaidia

    Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko. Au mnasemaje wakuu?
  5. JamiiForums Tanzania Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
  6. JamiiForums Tanzania Yanga nayo ni timu ya machawa

    Msigwa kaharibu shughuli yote raia wamechukia sana
  7. JamiiForums Tanzania Polepole anakabia juu. Mnoo, machawa wanakanyagana tu

    Mpaka sasa balozi polepole anakabia juu mno. Machawa wanaweweseka hawawezi kumjibu wana rukarua. Nyie machawa wa lumumba. Polepole ana data/ takwimu mjibuni kwa takwimu siyo viroja vya hoja ! Balozi amesema MAGUFULI alimalizwa na Wanamtandao wewe unatutajia mambo ya MELI sijui afya yaakili...
  8. JamiiForums Tanzania UVCCM na Vijana machawa mnajua kama kuna siku historia itawakumbuka?

    Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Machawa walijiingiza kwenye mpira wa leo, pitia responses utajua kuwa watu wamechafukwa

    Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY? Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa. Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza!
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wanavua utu wao kuwa machawa

    Yani mi nikisikia mwanaume anasema Oktoba Tunatiki naanza kuwa na mashaka naye 🏳️‍🌈 https://www.facebook.com/share/r/1ALAR12WMq/
  11. JamiiForums Tanzania Endeleeni kuwa machawa

    Siku zote machaw wote hawanaga akili, chama cha CCM kwasasa kimeelemewa, sekta ya usafiri hasa mwendo kasi inaelekea kuzimu kabisa nimekuwekea video hapo chini👇👇👇👇 🤣🤣🤣 hii nchi asee
  12. JamiiForums Tanzania Ogopa kuzoeana na machawa wa maaskofu na wachungaji na manabii utakufa maskini

    Polen sana weathirikaaa Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two Washampanga...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?

    Jitafakari!!
  14. JamiiForums Tanzania Heko TRA kwa kuwaumbua machawa kuhusu miradi.

    Ili kuondoa utata wa nani anayegharamia miradi nchini, TRA hivi sasa imeweka tangazo kwenye runinga likionesha kuwa miradi yote inagharamiwa na kodi zetu. Lucas Mwashambwa na magarasa wenzako heshimuni hilo tangazo la serikali.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naona Tv imaan ishageuka machawa na wao

    Katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo cha kibiashara, mkoa umeanzisha shamba la pamoja la kahawa lenye ukubwa wa ekari 300 katika kijiji cha Makongora, wilayani Muleba, likihusisha vijana 300 waliopatiwa mafunzo na nyenzo. Aidha, kongani 4 za vijana zimeanzishwa katika...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia atawabadilikia machawa, hawataamini

    Dr Samia atawabadilikia machawa hawataamini pale atakapotema Bungo dakika za mwishoni
  17. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Samia hataki kufanya kazi na watu wenye IQ kubwa?

    Joseph Gwajima Luhanga Mpina Hersi Said Arafat Haji Byabato Mpango Majaliwa Polepole Lissu Heche Butiku Warioba Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why? Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma! Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
  19. JamiiForums Tanzania Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

    Tunawachoraaa tuuuu Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!. Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya machawa kupigwa chini kwenye mchakato, CCM waja na mkakati wa kuwapitisha tena ndiyo maana wakataka majina mengi yaende juu

    Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…