Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
Baada ya mchezo kumalizika...
Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa.
Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana nalo.
Mnatuletea picha za mtu kavaa kaunda suti zake unifomu ya uhudumu wa ofisi eti ni Comando wa US...
Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini.
Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
Mkutano wa Mgombea Urais wa Uganda kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) uliokuwa ukifanyika eneo la Bbaale nchini humo umeshindwa kumalizika vyema baada ya askari wa Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya wafuasi...
Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook.
WAZEE HUKUMBUKA NA KUTAFAKARI
1. Lilikuja Azimio la Arusha: Yaliyofichwa Yakafukuliwa. Tukawa ndugu bila kuwa sawa lakini tukawa wamoja. Maskini akamtunishia msuli kiongozi na akabaki salama. Maskini wakafa na tai shingoni lakini hawatekwi.
2...
Wakuu
Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania?
Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania.
je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo
=================
Marekani imesema...
Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu.
Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi.
Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana.
Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
Wengine panya huwapa hofu, lakini huko Cambodia, viumbe hawa wamekuwa msaada mkubwa usioepukika
Panya wa Kiafrika aina ya giant pouched rats hupita kwa ustadi kwenye mashamba wakitafuta harufu ya TNT kemikali inayotumika kwenye mabomu mengi na mabaki ya vilipuzi. Mara wanaponusa, huashiria kwa...
Wakuu habari zenu,
Kiukweli nimekuwa nikifuatilia kwa utulivu kinachoendelea kuhusu baadhi ya viongozi wa dini nchini, hususan tukio linalomhusu Askofu mmoja ambaye kwa sasa jina lake limekuwa gumzo lakini kwa kweli kinachonigusa si jina lake, bali kile kinachowakumba waumini wake.
Leo nimeona...
https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq
Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa...
Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran.
Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.