Tabia za Mabinti wa Kidigital

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
SIFA YA MABINTI WA JF YETU

1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K

2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»

3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype.

4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi anakuwa offline.

5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa Hi tu. Usipomtafuta ndo imetoka hiyo.

6. Wamejijengea mawazo kuwa kila mwanaume kwenye mtandao anatafuta mpenzi tu. Hawawazii hata urafiki wa dhati.

7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya hata ukiwatext ila ukipost 2 picha ya mwanamke mwingine utaona anakufata inbox na kukwambia «msalimie mkeo»

8. Wanapenda sana kujifanya wako busy ila kutwa kucha yupo online.

9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana(maboya yanakamatwa)

10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa mademu atakuja kwako kwa nauli yake ila kama we ndio umependa jipange tu kwa nauli.

11. Mwisho wanaamini hakuna mwanaume wa ndoa anayepatikana mitandaoni(wote waharibifu tu)

Sasa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa mitandao? Kwamba watu waliomo humo si wa dunia hii.

Huo ni mtazamo tu jaman msije mkanivika kibwebwe cha umbea.

Daaaah@@@

HUMU wamo au?✍️✍️✍️✍️
 
SHIDAAA YOOOOTEEEE NI PESA......tafuta pesa upunguze kujieleza..wenzako tangu tuigundue simple principle ya kuwadaka hawa viumbe huwaga hatuangaik na maswal yakijinga et wapii hiyoo??, mara nitumie sjui nmba tuchat wasap/ huu upuuz haupo,ukiwa na hela mueleze tu bei gan kama unamtaka, kama unataka urafiki napo eleza location kali ya kumtoa out mtoto mzur, achana na maneno ya wahenga,kizaz hik hakina uruma, ukishindwa kumuhudumia huyo akina sie tupo tutamtoa out, tutampa izo bukuteni zakutosh mpka awe anatutfta yeye mwenyew na urafiki utadumu mpka ndoa....hahaha tafta pesa acha ngonjera wew, mwanaume anapendwa na mama mzaz tuu...
 
Mkuu tafuta fuba,pesa,chapaa kama mdau hapo juu alivoshauri.

Kama hilo haliwezekani basi jitahidi kua mvumilivu na maneno matam matam na vijistory vya hapa na pale vya kufurahisha, mind you wenye pesa hawana story nying so madem zao wanakua bored. Sasa hiyo ndo nafasi yako kujimwaya mwaya, la sivyo huwezi pata attention yao.
 
Asante kwa kunidokeza ngoja tufanye hivyo
 
Mkuu tafuta fuba,pesa,chapaa kama mdau hapo juu alivoshauri.

Kama hilo haliwezekani basi jitahidi kua mvumilivu na maneno matam matam na vijistory vya hapa na pale vya kufurahisha, mind you wenye pesa hawana story nying so madem zao wanakua bored. Sasa hiyo ndo nafasi yako kujimwaya mwaya, la sivyo huwezi pata attention yao.
Sawa ngoja mimi niwe storyteller kwao niwafrahishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom