Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira ya kuwawezesha Watanzania, hususan vijana, kunufaika zaidi na fursa za kiuchumi. Baada ya msukumo katika sekta ya ujenzi na manunuzi ya umma, sasa mkazo unaelekezwa pia kwenye sekta ya madini, kwa kuhimiza ushiriki...