Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameurudisha bungeni muswada wa sheria ya sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Msemaji wa Rais, Bw.Sandor Walusimbi amesema, Rais Museveni amependekeza marekebisho ya adhabu kwenye muswada huo kabla hajausaini.
Kwa sasa muswada huo unatoa adhabu ya...