Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Hali ya mambo siyo shwari ila CCM wakiambiwa ukweli wanachachamaa na kusema wanaowakosoa wamelipwa na mabeberu.
Picha hiyo hapo chini inaonesha wananchi wa eneo la Ngongowele Wilayani Liwale Mkoani Lindi wakiwa na mabango yanaoonesha wanataka mabadiliko kwenye eneo lao.
CCM wanadhani tatizo ni...
Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu?
Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo):
1️⃣ KWANINI MABEBERU WANALINDA NCHI ZAO? 🛡️
Kama mabeberu ni wabaya sana, mbona kwao hakuna vita...
Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.
Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa...
Nichukue fursa hii kumpongeza Mhe.Waziri Mkuu Kijana Mwigulu Nchemba kwa kuanza kuanika japo kwa uchache kilichopo nyuma ya pazia.
Ni muda mrefu humu tumesema juu ya mwenendo usio na afya kwa Taifa unaooneshwa na mabeberu au waite mabwana waliowatumikisha wabara na hata kuwauza utumwani ...
Wakuu,
Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana
Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini?
Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii
Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
Wandugu
Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk.
Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Pia akisisitiza kuwa hatari kubwa kwa Tanzania si...
Hayo madini, Mbuga za Wanyama, Gas, Uranium, Bandari, misitu n.k. ni kipi hawajapewa mabeberu kwa mikataba ya kijinga?
Kipindi cha Magufuli tuliambiwa yote hayo
Anachotaka Lissu hata kidogo kilichobaki tule wote, siyo wao wanakula na kuvimbiwa.
Wanachukua mamikopo ya trillions, ambayo kila...
NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria?
2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti.
Serious, sio kwa...
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu.
Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga...
Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko.
Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu
Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema.
Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini
Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka...
Huyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza eti ni kutukuza mabeberu
Hadi akaamua kuandika kwa Kikuyu vitabu vyake badala ya English lengo eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.