Kila mtu anatamani kuona dunia ikiendelea, ikisonga kutoka hapa ilipo. Mabadiliko ama maendeleo ya dunia huja na maumivu makubwa sana, maendeleo hayaji burebure tu, ni lazima uumie.
Unataka kutajirika, basi itakubidi uanze kuamka saa kumi na mbili asubuhi na kulala saa saba usiku, ni lazima...
Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi
Utangulizi
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na...
Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo:
1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya:
Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
Lugha ya kufundishia inabidi kuwa kingereza lakini mmeamua kupiga siasa.
Wanafunzi kufundishwa masomo kuhusu wazungu jinsi walivyowatesa it's none sense. Futeni masomo ya History wanafunzi wasome history ya Tanzania na Dunia kwa Mambo ya msingi na sio kumwambia Mtoto eti katokana nyani.
So...
Utangulizi
Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na uwezo wa kujenga mustakabali...
#Storyofchange2023
Mwandishi: Wa Kale
Mawasiliano,
Email: officialmapatotz@gmail.com
Simu: +255745922142
Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu.
Ikiwa...
Mabadiliko kutoka 𝘽𝙐𝙄𝙇𝘿𝙄𝙉𝙂 𝘽𝙀𝙏𝙏𝙀𝙍 𝙏𝙊𝙈𝙊𝙍𝙍𝙊𝙒 - 𝘽𝘽𝙏 mpaka kuwa 𝘽𝙐𝙄𝙇𝘿𝙄𝙉𝙂 𝘽𝘼𝙎𝙃𝙀 𝙏𝙊𝙈𝙊𝙍𝙍𝙊𝙒- 𝘽𝘽𝙏. TUMEPIGWA BILIONI 13.
Kwa mujibu wa wizara ya Kilimo chini ya waziri @HusseinBashe ni kwamba serikali inatumia milion 16.4 kufadhili shamba la hekta moja kwenye mradi wa Building a Better Tomorrow kwa...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
Ni dhahili hali sasa inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda. Mwanadamu amekua akifurahia na kuvumbua dhana mbalimbali za kumsaidia kazi! Maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yamepamba moto katika nyanja mbalimbali....kilimo, usafirishaji, mawasiliano, viwanda, afya nakadhalika. Yote haya...
Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu na nikaanza kufanya kazi katika benki kubwa, lakini siku zote nilijua kuwa nina wito mwingine wa...
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)
Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba...
Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote.
Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa ni mpaka waone ndio waamini na hivyo jukumu letu sisi waona mbali ni kuwasaidia 'matomaso' before...
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama husika kitakua na mabadiliko ya lweli ju ya wananchi wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.