mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mammamia23

    SoC03 Mabadiliko ya mifumo ya elimu katika kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani. Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu Katika nchi yetu ambayo haikidhi vigezo vinavyohitajika kwenye soko la ajira na Dunia inayokuwa Kwa kasi...
  2. G

    SoC03 Mabadiliko katika Sekta ya Madini kwa Utawala Bora na Uwajibikaji

    Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazoathiri ufanisi na uwajibikaji katika sekta hii. Kwa lengo la kukuza utawala bora na uwajibikaji, mabadiliko yafuatayo yanaweza kutekelezwa: Kuboresha uwazi na upatikanaji wa taarifa...
  3. C

    SoC03 Mabadiliko ya mfumo wa elimu

    Elimu ni ujuzi anaopokea mtu kutoka Kwa we ye uekewa zaidi juu ya jambo fulani Kuna aina tatu za elimu 1. Elimu rasmi hii ni ule ujuzi tunaoupata kutoka a mfumo maalumu wa serikali mfano shule na vyuo 2. Elimu ya jadi hii ule ujuzi unaopatikana kutoka na mafunzo ya makabila na jamii zetu...
  4. F

    SoC03 Mabadiliko katika nyanja ya Elimu

    Elimu ni sekta muhimu sana katika kukuza utawala bora na uwajibikaji nchini Tanzania. Kuna mabadiliko kadhaa ambayo yanaweza kufanyika kwenye elimu ili kuchochea mabadiliko hayo. Hapa chini nitaorodhesha baadhi ya mabadiliko hayo: 1. Kuimarisha elimu ya uraia na maadili: Ni muhimu kuanza...
  5. G

    SoC03 Mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Bidhaa na Huduma za Serikali Yanavyochochea Uwajibikaji na Utawala Bora

    Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
  6. Gideon Ezekiel

    SoC03 Kilimo cha mabadiliko kitasaidia

    DUNIA inabadilika pale miaka inaposogea, ya sasa siyo ya jana. Tuanapozungumzia mabadiliko tunazungumzia tabia ya nchi, mambo ya leo siyo yatakayokowepo kesho na siku zijazo baada ya kesho. Mabadiliko ya nchi si neno geni sana, kila mtu anafahamu na athari zake. Na Dunia imetuletea msamiati...
  7. desmond3076

    SoC03 Uthubutu wako ndio Chachu ya mabadiliko

    Naitwa Desmond sio jina halisi,nilimaliza Elimu ya msingi miaka kadhaa iliopita ,japokuwa sikuweza kuchaguliwa,kujiunga na Elimu ya upili, ilinilazimu kurudia tena mwaka mwingine na hatimae kuweza kufanikiwa kujiunga na shule ya upili huko wilayani tarime mkoa wa Mara. Maisha ya Elimu ya upili...
  8. M

    SoC03 Maendeleo ni zao la mabadiliko

    Mabadiliko ndio kila kitu. Tanzania na Afrika kwa ujumla Ina matatizo yanayofanana kwenye kila nyanja elimu,uchumi,utawala,kilimo,afya sayansi na teknolojia. Elimu tunayowapa watoto wetu mashuleni na vyuoni ni lazima wapewe elimu kulingana na mustakabali wa nchi yao kwa mfano Tanzania uchumi...
  9. G

    SoC03 Mabadiliko katika Elimu kama Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Elimu ni moja ya nyanja muhimu katika maendeleo ya jamii. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na changamoto nyingi katika sekta ya elimu ambazo zimeathiri ubora wa elimu na kusababisha udhaifu katika utawala bora na uwajibikaji. Kwa kupitia mabadiliko katika elimu, tunaweza...
  10. Mwl.RCT

    SoC03 Julius Nyerere: “Maandishi ni chombo cha kueneza elimu na kuleta mabadiliko”

    JULIUS NYERERE: “MAANDISHI NI CHOMBO CHA KUENEZA ELIMU NA KULETA MABADILIKO” Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Maandishi ni chombo muhimu sana katika kueneza elimu na kuleta mabadiliko katika jamii. Kupitia maandishi, watu wanaweza kushiriki maarifa na ujuzi wao na wengine, na hivyo kuchangia...
  11. benzemah

    Rais Samia: Mabadiliko ya Viongozi Serikalini yataendelea mpaka mstari unyooke

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa itakapopatikana kwenye kila sekta nchini. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Juni 16 2023, wakati akiwaapisha...
  12. M

    SoC03 Ushirikiano wa Kimataifa unawezaje kusaidia kupambana na Mabadiliko ya tabianchi?

    Na: Mr Potocal Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
  13. isajorsergio

    SoC03 Sera Bora, Elimu na Teknolojia Muhimili wa Mabadiliko, Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na teknolojia. Taifa ni lazima lijikite katika kujenga misingi imara na mfumo dhabiti kuzunguka raia na...
  14. Byangwam

    SoC03 Hadithi ya mabadiliko Tanzania

    Nuru ya uwajibikaji Mara nyingi, nchi yetu ya Tanzania imejikuta ikisakamwa na changamoto nyingi za utawala bora na ukosefu wa uwajibikaji. Lakini katika kiza kirefu, nuru ya matumaini inang'aa. Hii ni hadithi ya mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ambayo yameleta mabadiliko makubwa...
  15. Mwl.RCT

    SoC03 Sikilizeni Wananchi: Nguvu ya Maoni katika Kuleta Mabadiliko

    SIKILIZENI WANANCHI: NGUVU YA MAONI KATIKA KULETA MABADILIKO Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Katika ulimwengu wa leo, sauti za wananchi zina nguvu kubwa katika kuleta mabadiliko katika jamii. Kusikiliza maoni na matakwa ya wananchi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo na...
  16. Mwl.RCT

    SoC03 Hadithi ya Wanyama wa Msitu: Jinsi Uwajibikaji na Utawala Bora ulivyosaidia kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii Yao

    HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Msitu wa kijani kibichi Katika msitu wa kijani kibichi, wanyama mbalimbali walikuwa wakiishi kwa amani na utulivu. Hata hivyo, katika...
  17. acyer

    SoC03 Mzazi na mabadiliko kielimu

    STORIES OF CHANGE JINA LA ANDIKO: MZAZI NA MABADILIKO KIELIMU. MWANDISHI; ACYER MAMU -MCHANGO WA MZAZI KATIKA MABADILIKO YA KIELIMU Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu kadri ambavyo siku zimezidi kwenda.Mabadiliko hayo yameweza kupelekea kuongezeka kwa idadi kubwa ya wasomi...
  18. Mwl.RCT

    SoC03 Mawazo Yenye Athari Chanya: Kuchochea Maendeleo Na Mabadiliko Katika Jamii

    MAWAZO YENYE ATHARI CHANYA: KUCHOCHEA MAENDELEO NA MABADILIKO KATIKA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya 'training'.au 1. UTANGULIZI Katika jamii yetu ya leo, mawazo yana nguvu kubwa katika kuunda mabadiliko chanya. Mawazo hayo yanaweza kuchipuka kutoka kwa mtu mmoja na kusambaa...
  19. M

    SoC03 Tuwakumbuke vijana wa kiume kwenye mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Utangulizi. Kwa miaka mingi sana vijana wakiume walikua wakipewa kipaumbele katika nyanja tofauti tofauti lakini mambo yalianza kubadilika pale matukio ya unyanyasaji wa ulipoongezeka hasa kwa watoto wa kike. Hapa ndipo Serikali na asasi nyingine zisizo za kiserikali kuanzisha kampeni tofauti...
  20. Nyanda Banka

    SoC03 Uwajibikaji katika nyanja mbalimbali

    Utangulizi Uwajibikaji ni ile hali ama kitendo cha mtu kutimiza majukumu yake yanayompasa kufanya bila kuwepo na shuruti ya aina yoyote. Katika huu ulimwengu wa sasa inamfaa kila mtu awe muwajibikaji katika kila nafasi yake aliyokuwepo kwani bila kuwepo kwa uwajibikaji inaweza ikaleta athari...
Back
Top Bottom