mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji katika mikoa mitatu ya Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Januari 6, 2023 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za viongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam, leo tarehe 03 Januari, 2023. Amesema “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kidogo kuhusu matumizi ya fedha na...
  3. BARD AI

    Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
  4. Mama Edina

    Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe. Muhutasari huu hapa. Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu. [emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254] ...Masomo kupunguzwa sekondari, ...civics na general study kufutwa kabisa, ...somo la...
  5. L

    China yashirikiana na Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa inayokabili nchi zote duniani, haswa nchi za Afrika. Ikiwa ni sehemu ya juhudi za kujenga jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja, ushirikiano kati ya pande hizo mbili umetoa uungaji mkono wenye nguvu kwa Afrika kukabiliana na changamoto...
  6. S

    Mabadiliko ya kumbi za usaili - Dar es salaam

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi katika kada mbalimbali za TRA kuwa, kuna mabadiliko yamefanyika katika mpangilio wa kumbi za usaili kwa wasailiwa wote waliokuwa wamepangiwa Dar es Salaam tarehe...
  7. JanguKamaJangu

    Elton John adai kilichomtoa Twitter ni mabadiliko ya sera, Elon Musk amjibu

    Mwanamuziki huyo ameongeza ya mastaa waliojitoa katika mtandao huo tangu uanze kumilikiwa na Elon Musk, amedai kuwa mabadiliko hayo yatachangia taarifa potofu kusambaa kwa urahisi. Akijibu hoja hiyo, Musk amesema anaamini mwanamuki huyo atarejea Twitter. Aidha, mtangazaji maarufu wa Uingereza...
  8. Dr Akili

    Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  9. OffOnline

    Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao. RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi

    === Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya, Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia...
  10. Vhagar

    Usihuzunike, huna budi kukubali. Ni mabadiliko

    Ukiyakataa mabadiliko yatakubadilisha kilazima na yatakuumiza. Utaona mtu mbaya, ana dharau kumbe si kweli. Mlikuwa washkaji ni kweli kuna kitu kilikuwa kinaleta ushkaji wenu. Kama ni shule hapa mlikuwa mnaongea lugha moja. Mmmetoka hapo ww ni boda boda yeye ni mhasibu. Hapa hata mkikutana...
  11. Wildchild

    Mtazamo wangu kwa wana JF kwenye ushiriki wa mijadala ya kitaifa

    Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
  12. Roving Journalist

    Miaka 61 ya uhuru, Je Mabadiliko ya tabianchi bado ni kichaka cha huduma mbovu za maji nchini?

    Kutokana na tatizo la Upatikanaji wa huduma Bora za Maji safi Nchini baadhi ya Wadau wamekuwa na mawazo tofauti. Kwa haya na mengine mengi, ungana nasi katika Mjadala unaoendelea kwenye mtandao wa Twitter. Bonyeza kwenye Kiunganishi hiki kushiriki mjadala: >>> JF SPACES Baadhi ya hoja...
  13. S

    Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
  14. Tango73

    Mabadiliko ya elimu Tanzania

    Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini. Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
  15. L

    Utoaji wa hewa chafu wa jeshi la Marekani wachangia mabadiliko ya tabianchi duniani

    Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto zinaozidi kuongezeka za mabadiliko ya tabianchi duniani. Nje ya mkutano huo, utoaji wa hewa chafu wa...
  16. Brain Kingdom

    Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

    Hatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi. Mvua za vuli kama...
  17. OLS

    Mabadiliko ya Tabia Nchi isiwe kichaka cha kuwanyima huduma muhimu wananchi

    Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua serious. Kwa sasa dunia ipo kwenye agenda ya Mabadiliko ya Tabia nchi, na Tanzania imeichukua suala...
  18. Mbwilimbwili

    Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  19. Lanlady

    Kama kweli ni chaguo la Mungu, tusisingizie vita/ tabia nchi

    Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo. Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk! Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
  20. MURUSI

    Watapangua sana ma-RPC ila hakutabadili tabia za Jeshi la Polisi

    Kwa saaa speed ya kupangua Ma-RPC inatisha sana haipiti mwezi wanapanguliwa na hapa tulipo huenda huu mwaka hautaisha utasikia tena pangua pangua. Huyu Wambula kazidi sasa make haipiti mwezi hajapangua. Yaani realocation ya ma-RPC ndio mwisho wa mageuzi wanayoimba daily. Hawa wanakwepa kudili...
Back
Top Bottom