mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mabadiliko haya ni ya kawaida tujitahidi tuwatumikie wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana huku akisisitiza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika maeneo husika. Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Agosti 15,2024 wakati akiwaapisha viongozi...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

    Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp Ni mawazo Yangu tu Wait it Upo Pascal Mayalla ? Britanicca
  4. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  5. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko yangu ni noma

    Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi.. Naenda kiumri ~ Age 8 - Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi mtoto wa mwalimu na yeye alikuwa mtoto wa mwalimu, saa 4 tunaenda ofisini kunywa chai 👩‍❤️‍👨 sikuwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tushangilie ushindi wa TLS lakini tusitegemee mabadiliko TLS kupitia Mwambukusi; huyu ni mwanasystem kindakindaki

    Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea. Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama...
  7. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Usipokubali mabadiliko unapitwa na wakati

    Three stories to boot: 1. Nokia refused Android 2. yahoo rejected google 3. Kodak refused digital cameras Lessons: 1. Take chances 2. Embrace the Change 3. If you refuse to change with time, you'll become outdated Two more stories: 1. Facebook takes over WhatsApp and Instagram 2. Grab takes...
  9. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

    Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina muundo rasmi wa Wizara Kikatiba, na hivyo kila Rais huunda baraza lake kwa jinsi aanavyo inafaa kurahisisha utendaji wake?

    P02: MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI Lina wizara 14, Mawaziri 14, hakuna Manaibu Mawaziri Wizara hizo ni: 1. Ofisi ya Rais (menejimenti ya utumishi wa umma, katiba sheria na utawala bora) 2. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano, mazingira) 3. Ofisi ya waziri mkuu(sera, bunge, uratibu) 4. Afya...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro Ahimiza Mabadiliko Chuo cha Michezo Malya

    WAZIRI NDUMBARO AHIMIZA MABADILIKO CHUO CHA MICHEZO MALYA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watuishi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wafanye mabadiliko katika utendaji kazi wao ili waendane na kasi ya mabadiliko ya sekta hiyo hapa nchini. Mhe...
  12. Godwithus

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yenye tija katika shule za msingi na sekondari

    Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu kama kiungo katika kuleta maendeleo. Licha ya hayo, bado kasi yake hairidhishi ikilinganishwa na...
  13. G5bajuta

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

    KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
  14. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Mabadiliko kwa Uhisani: Maboresho ya Afya Kupitia Ukarimu

    Uhusiano kati ya ustawi wa akili, afya ya mwili, na tabia ya kutoa ni jambo la kuvutia na tata. Safari ya John D. Rockefeller kutoka ugonjwa hadi afya, iliyoanzishwa na mabadiliko yake kutoka mtindo wa maisha unaozingatia binafsi hadi ule unaolenga uhisani, ni mfano maarufu. Hadithi ya...
  15. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

    MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge unaofikia ukingoni mwishoni mwa wiki hii. Mabadiliko hayo yanatabiriwa kuwagusa mawaziri ambao kasi ya...
  16. Miyolo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko ya kufanyika ili kuchochea uwajibikaji katika ubadhirifu kwenye ripoti za CAG ili kujenga Tanzania Tuitakayo

    Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali hii inazorotesha maendeleo na kuathiri ustawi wa wananchi. Ili kujenga “Tanzania Tuitakayo,” ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinafanya mtu anabadilika sura au mwili kwa haraka?

    Wanabodi imekuwa ni jambo ambalo ni kawaida pale unapokutana na mtu ambae hamjaonana kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapokutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano wa sura na mwili kwa ujumla. Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Turekebishe maeneo yafuatayo ili kushuhudia mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania

    Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya watu wote kila kiongozi na raia atambue wajibu wake na kutekeleza kikamilifu. Maamuzi magumu...
  19. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yanayotakiwa kufanyika katika stesheni za mabasi ya usafirishaji (abiria) ili kuifikia tanzania tuitakayo

    Sekta ya usafirishaji ni moja Kati ya sekta muhimu Sana kwenye maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Sekta hii inahusisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria. Sekta hii imeonekana haina mchango mkubwa katika pato la taifa kutokana na usimamizi mbovu haswa katika Stesheni nyingi za mabasi ambapo...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina usiondoke CCM, pambania huko huko ndani ya chama chako kuleta mabadiliko

    Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa mno ukiwa ndani ya CCM kuliko nje yake. Wewe sasa hivi unachukuliwa kama nembo ya ujasiri ndani ya...
Back
Top Bottom