mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Elimu Yetu Hayaepukiki. Ila ni lazima tuwe Makini kwenye Utekelezaji wa Mabadiliko ya Mtaala Mpya wa Elimu

    Kuna msemo unasema "Umeruka Vumbi Ukakanyaga Matope". Hakuna ubishi elimu yetu inahitaji over-hall, ni kweli kabisa kama tunataka kusonga mbele kielimu kuendana na ulimwengu wa sasa wa sayansi na tekinologia lazima tufanye mabadiliko kwenye mfumo wetu wa elimu. Tumeupitia mtaala mpya wa...
  2. Bams

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Jeshi la Polisi kusukwa upya kuondoa tuhuma za mauaji zinazolikabili mara kwa mara

    Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza leo bali ni miaka mingi, na yanaendelea hadi leo. Tuna kumbukumbu mbaya ya siku za nyuma, jeshi la...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa Tanzania wasipuuze Sera za Mazingira kwa kudhani hazishawishi kura. Mabadiliko ya Tabianchi ni kipaumbele kwa Wapiga Kura wengi

    Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za Afrika (Tanzania ikiwa miongoni mwazo), licha ya athari zake kubwa barani humo. Masuala yanayopewa...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI KULIFANYIA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI, KIMUUNDO NA KIUTENDAJI ACT Wazalendo tumepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa za kuuliwa kikatili kwa vijana wawili (2) na wengine wawili (2) kujeruhiwa vibaya na Jeshi la Polisi Zanzibar, jana tarehe...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabianchi huongeza uwezekano wa Wanawake na Wasichana kufanyiwa Ukatili wa Kingono

    Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii. Wanawake...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je wajua: Wanawake wa Vijijini wanathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi kuliko Wanawake wa Mijini?

    Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mabadiliko ya tabianchi yanawasukuma katika Umasikini Wanawake zaidi kuliko Wanaume

    Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa athari za mabadiliko ya tabianchi. Ushahidi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Wanyonyaji wanachukia sana mabadiliko sababu wananufaika na mifumo iliyopo.

    Nimemsikia mwalimu Nyerere akihutubia katika moja ya hotuba zake anasema kwamba mara nyingi wanyonyaji au tabaka nufaika linachukia sana mabadiliko. Ila wanyonge na walalahoi hawaogopi hiyo maana kwa kuunga mkono mabadiliko wanajaribu bahati yao.
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  13. Kson Investment

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujua mabadiliko yaletwayo na P2

    Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2 Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha Wazoefu mnaofahamu haya mnipunguzie hofu hapa nahemea mashine yaani
  14. S

    JamiiForums Tanzania woga na kuogopa mabadiliko vipo sambamba na watanzania

    Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama Duniani huko vijana wanakiwasha kudai...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania UDP,CHADEMA, CUF N.K PANAHITAJIKA MABADILIKO MAKUBWA MNO YA KIMFUMO, KIKATIBA NA KIUONGOZI ILI KUWE NA TIJA YA KISIASA MPAKA KWENYE MAISHA YA WANANCHI

    vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini, Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
  16. snipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TUSD Mabadiliko katika sarafu bandia Tanzania

    Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme. Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nayaona mabadiliko Baraza la Mawaziri

    Nimatumaini yangu kumekucha salama, wagonjwa na wenye changamoto ninaungana nao kuomba na kupambana ahueni ipatikane. Aidha ninaungana na wafiwa na wale walioguswa na msiba wa mzee wetu Ali Magoma kwa udhalilishaji na mateso aliyefanyiwa na hatimaye mauti kumkuta. Kelele zimekua nyingi hadi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Samico nimerejea mjini, nimekuta mabadiliko; Aliyekuwa kiboko ya wachawi naye karogwa na wachawi

    Baada ya kukaa saiti miezi mitatu huko polini kondoa pasipo kuingia internet, Hatimaye leo tumerejea Dar es salaam! Tuko huru kama kuna kazi umeme na ujenzi nipigie 0711756341 Nimerudi mjini Hakika mabadiliko yanaonekana! Mji unakuwa kwa kasi sana! Ukiwa hapahapa mjini kila siku huwezi kugundua...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
Back
Top Bottom