maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wananchi wana maarifa mengi kuliko mamlaka?

    Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi? Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo? Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na...
  2. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

    1. Watu hawana upendo kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 2. Watu hawana uvumilivu kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 3. Ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 4. Watu hawana amani kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 5. Watu hawana ustahimilivu kwa sababu...
  3. Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  4. Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  5. Polisi Tanzania tubuni mnaangamia kwa kokosa maarifa

    Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua Polisi jitambueni sisi...
  6. Nikimuangalia Lissu na Maria Sarungi namuona Kibwetere alivyowaangamiza wafu wake kwa kukosa maarifa

    Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana. Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
  7. Vitabu vinavyoweza kukupa mwanga maarifa kuhusu mafanikio

    Kama unatafuta vitabu vya kujifunza siri za utajiri, kujenga mali, na mafanikio ya kifedha, hapa kuna baadhi ya vitabu maarufu na vya thamani vinavyoshughulikia mada hii: ### 1. Vitabu vya Klasiki kuhusu Utafiti na Uwekezaji - "The Richest Man in Babylon" – George S. Clason (Mtu Mjakazi...
  8. Level za ufahamu au maarifa kwa wanadamu zipo tatu

    Kichwa: Piramidi ya Kuwezeshwa: Safari ya Binadamu Kupitia Ngazi za Ufunuo wa Dhamira --- Wazo la Siri Kuhusu Binadamu: Muundo huu wa kifalsafa unaonyesha ukweli wa kale kuhusu uwepo wa binadamu na ukuaji wa kiroho. Piramidi inaonesha mfumo wa tabaka — wa kijamii na wa ndani ya nafsi. Kila...
  9. Elimu na maarifa ya ziada

    Haya si ya KIADA bali ni ya ZIADA.. Ya KIADA huwa kwenye mitaala na miongozo rasmi ya serikali kwenye ufundishaji mashuleni na vyuoni Ya ZIADA sio rasmi na walimu na wakufunzi hawana shuruti ya kuyafunza bali kwa utashi wao na kwa nia ya kuwaongezea wanafunzi wao maarifa wanaweza kuwafundisha...
  10. M

    Tundu Lissu ni msomi mzuri lakini hana maarifa hata kidogo

    Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu...
  11. Mdau anahoji "kwanini Vitabu vya dini vimetafsiriwa kila lugha, lakini sio vitabu vya maarifa ya dunia"

    Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
  12. Vijana wa Siku Hizi na Nguvu ya Mtandao: Tunajenga au Tunabomoa?

    Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔 Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu? Kuna...
  13. Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  14. L

    Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  15. Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
  16. Maarifa: Mizizi ya mgomba yaweza kutumika kama chakula

    Huko Indonesia shina la mgomba hutumika kama chakula baada ya ya mkungu wa ndizi kukatwa, video inaeleza process nzima
  17. Ewe Mwanachuo unayehitimu, ongeza Maarifa na Stadi za Maisha kwani Ajira siyo uhakika kama zamani

    Elimu ni bahari Elimu ni hazina Elimu ni ufunguo wa maisha. Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu. Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu waliograduate ni wengi hali inayosababisha Ajira kuwa chache kwani mahitaji ni machache kuliko bidhaa...
  18. Matunda ya mti wa Amarula, tuliyala sana kule kanda ya ziwa, Watu wangu wana angamia sana kwa kukosa maarifa.

    Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
  19. S

    Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  20. S

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM. HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu. CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka. Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…