Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
Kuna vitu nitaviandika hapa na baadhi watasema mbona matajiri hawafanyi hivyo!? Lakini jibu ni moja tuu.. Wamefanya hivyo pamoja na mengine ndio maana wamefika hapo walipo
Sasa mada hii si kwa ajili ya utajiri pekee bali na mambo mengine mengi yatakayokusaidia sana maishani
1. Nguo/vazi
Hiki...
Usiwe mvivu wa kufungua links za maarifa! Zitakusaidia mengi.. Achana na links za umbea na pilau
Tumia bando lako kwa manufaa
Kwa kila link nitakayoweka kuna vitu rahisi utajifunza na kuokoa pesa nyingi na muda
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to...
Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
NB:
Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa....
Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi, limeendelea kuwekeza katika mafunzo ya ndani na nje ya nchi kwa maafisa na askari wake, lengo likiwa ni kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi katika ulinzi wa maisha na mali zao
Mmoja...
Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
Tuambiane ukweli:
Leo, watu wengi wanataka kuwa viongozi si kwa sababu ya kuwahudumia wengine, bali kwa sababu ya madaraka, heshima, na ulaji.
Lakini uongozi wa kweli haupimwi kwa vyeo wala makofi ya hadhara. Unapimwa kwa kiasi gani uko tayari kusema ukweli hata kama utachukiwa, kutengwa au...
Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa Serikali, kutoka Tanzania na mataifa mengine.
Mafunzo hayo...
Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio.
Nacho nimejifunza ni hiki...
'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza.
Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
Mtaalam vs Mjuaji (Machino) (Chawa)
Mtaalamu ni mtu mwenye ujuzi wa kitaalam katika eneo fulani, amepitia mafunzo rasmi, uzoefu wa kazi, au elimu ya kina. Mfano: mtaalamu wa afya, mtaalamu wa sheria.
Mjuaji ni mtu ambaye anajua mambo mengi, lakini si lazima awe na elimu rasmi au ujuzi wa...
Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI.
Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi.
1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa.
2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa.
Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
. Hebu angalieni hii picha, lakini msiishie kuiangalia, itazameni na mnapoitazama, itazameni kwa makini.
Kisha tafakari ujumbe ufuatao👇👇👇
Hivi unajua kwamba kila mmoja wetu hapa duniani amefanikiwa?
Yaani hakuna mtu duni, maskini, fukara, boya, lofa wala kenge.
Uduni, umaskini na ufukara...
Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na kuamini kuwa hali yake haiwezi kubadilika. Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Sehemu ambapo ujinga ni...
Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia, utamaduni, na maisha ya watu ndio yanakufanya utofautiane na wengine.
Unapozungumza kwa ufasaha, kwa lugha...
Kwamba...... Unapoingia chooni au hata upenuni kwa ajili ya haja ndogo... Utasimama au kuchutama (kwa wanawake) ukielekea au kutazama kule unakokojoa....
Lakini ikiwa ni haja kubwa, unapochutama lazima ugeuke kutazama ulipotokea ndipo ujisaidie.
Kwa nini IPO hivyo?