Naomba kuongezewa Maarifa

Naomba kuongezewa Maarifa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,611
Reaction score
39,404
Hivi kuna raha hapa duniani zaidi ya kukojoa

Yaani ukute una pisi kali alafu mashine ina kilometer chache au mpya kabisa, alafu uwe unaipiga ile michezo ya mbwa

Naomba kuongezewa maarifa.
 
Hakuna raha kama KUISHI MILELE mkuu! kukojoa ni ubatili mtupu!
Umewahi kuishi milele ukaona chungu na tamu yake?

Mimi naona mtu ambaye atakuwa jehanamu kwenye moto wa milele
na mtu ambaye atakuwa mbinguni akisifu na kuabudu maisha yake yote
hawana tofauti.
 
Ushwaini huo unadumu dakika chache tu, binafsi ni jambo la kawaida sana kwangu, sijui kwa wengine!
 
Hakika hakuna epitome ya furaha kama kuyafikia malengo uliyo jiwekea mwenyewe

Hizi pisi zipo tu,
img_2_1787557232082.jpg
 
Mwanamke ni mwanamke tu mkuu, awe pisi asiwe pisi kukojoa ni kule kule.
Vingine ni fahari ya macho tu kuangalia
Haujawahi kupiga pisi kali, ukila pisi kali ndiyo utajua kwanini watu wana honga hela nyingi
 
Back
Top Bottom