maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kabla ya kufika 7/7 kutaibuka vikundi vya kila aina vikiitisha wana habari kujifanya wanakemea maandamano.

    Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano. Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo. Mfano ni huu na nani anawatuma.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kuunga mkono mamlaka ya umma kwa kubadilsiha sheria hizi

    Nianze kwa Istilahi hii ngeni. Mamlaka ya Kiraia. istilahi hii inapaswa kuwa ndio mwelekeo wa Watz wanaporefer maana ya Serikali. kwani kunekuwa na upotofu kuwa Serikali ni Watendaji wa Serikali. Hapana. Serikali ni sisi raia tunsotengeza mamlaka ktk nchi za kidemokrasia. Maana hii...
  3. JamiiForums Tanzania Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

    Habari za Sabato! Harakati na siasa ni kama mchezo wa Draft au wale wakulungwa wanacheza Chess games. Mtu yeyote anayejua kucheza Draft kikamilifu basi harakati na siasa hazitamsumbua. Kwenye Chess au Draft watu wengi huziona Kete. Lakini sisi wabobevu hatuishui kuziona Kete kama kete. Bali...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7 ni ya umma chini ya uratibu wa wanaharakati wapigania haki. Hata hivyo, tunayaunga mkono kwa sbb madai yao ni madai yetu

    Mange Kimambi amelaumu CHADEMA kuwa ni waoga na kwa kuwa haihusiki Moja kwa Moja na maandamano ya 7/7 wiki 2 au 3 toka sasa yanayohamasishwa kwa kasi sana kupitia social medias mbalimbali... Mange Kimambi yuko sahihi na ana haki kuwa na wasiwasi huu kwa kuwa anaijua na kuielewa vyema nguvu ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania David Misime: Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanahamasisha kuchoma shule, kukata watu vichwa na kupora Askari silaha

    Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanaamasisha kuleta Vurugu, kuchoma Shule, kushambulia wananchi, Kukata watu Vichwa na kuua baadhi ya watu, na kuvamia kupora askari silaa” - DAVID MISIME, MSEMAJI WA JESHI LA POLISI
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa moja,moja baada ya maandamano tutajua nan? Anaongoza

    Gent,s Tutajua baada ya timbwili hiyo 7/7 kama yasemwayo yapo tutajua nan? Anaongoza Wamaji walichapwa sana na Mh.. mwenda zake, wa awamu ya 3, aliwanyoosha kweli kweli bwana yule na wao waliweka moyoni tu na kujiuliza lini watalipiza kisasi Si wakajipindua na kujisahaulisha wannchi kavu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma mnaoenda kuandamana, kuna tetesi ya vipenyo wenye bunduki na mabomu ya mkono kuwadhuru waandamanaji bila lawama

    Sio vitisho ila mambo yanaweza kuwa hivyo Itaonekana kwamba waandamanaji wamelipua biashara za watu na wao kwa wao wameuana na kujeruhiana.
  8. JamiiForums Tanzania So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7 yaruhusiwe na Serikali na kupewa ulinzi

    Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;- A:Viongozi wa waandamanaji;- 1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka...
  10. JamiiForums Tanzania Mzazi, Linda Mwanao: Tahadhari

    EWE MZAZI MKANYE GENERATION "Z" WAKO ASIJIHUSISHE NA MAANDAMANO AMBAYO YANAPAGWA NA WANAHARAKATI UCHWARA KUFANYIKA TAREHE 7 JULY, 2026 AMBAYO HAYATAMBULIKI KISHERIA✍️ 👉Ewe Mzazi, kama unampenda mwanao kwa dhati na unatamani kuona akitimiza ndoto zake za maisha, basi tarehe 7 Julai 2026...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mnaopinga maandamano 7/7 mkae kimya, mtuache sisi tunaopenda Tanzania tuandamane. Na tutaandamana tu

    Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu. Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga maandamano yetu.
  12. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuyakabili na kuyadhibiti watu wabaya wanaopanga kujificha kwenye maandamano haramu siku zijazo

    Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini. Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
  13. JamiiForums Tanzania Free Tanzania - Maandamano 7/7

    Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿 Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu? Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya #SamiaMustGo Na hadi polisi wameanza kuandamana! Je tuko tayari kwa vitendo au maneno tu? Leo saa 2 uck...
  14. JamiiForums Tanzania Tishio la Maandamano 😀 wasio vaa uniform no wengi ILA hakuna kitu wanapata maana hizo ni propaganda za Green Gud wa kihongosi.

    Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee! Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya. Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja...
  15. JamiiForums Tanzania Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

    Chizi anachekesha kama hatokei kwenu. Salaam jamiiforum, hope ni wazima na hata wale wagonjwa pole mtapata nafuu. Kwanza niseme tu Mimi si muumini wa kupost habari za siasa,ila ni mfuatiliaji mzuri wa habari za siasa na nipo karibu mno. Kunako social networks na sources kibao naona...
  16. JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wakenya wamenyooka kama Rula. Maranga, Chief Justice (rtd) akamatwa kwenye maandamano

    Anapinga Nairobi National Park kumegwa kutengeneza car parking lot!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Mafuta na Hatari ya Migomo na Maandamano Nchi Nzima

    Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi. Angalia mwenendo wa bei Dar: Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115 Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248 Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
  20. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kuwafidia waathirika wa maandamano ya Gen Z ya Juni 2024

    Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29. Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake. ======================== Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…