Wanaharakati Nchini humo wametangaza maandamano mapya, wakati hali ya Siasa Nchini humo ikiendelea kudorora baada ya Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok kujiuzulu.
Waongozaji wa Kampeni dhidi ya Utawala wa Kijeshi wamesema Waaandamanaji watakuwa wakielekea Ikulu ya Rais hadi ushindi utakapopatikana...