maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA yameshakufa kabla ya siku yake kufika

    Jambo lolote ukitaka kulifanya basi lifanye kwa sababu madhubuti na ikiwezekana pima nguvu itakayokuunga mkono. Watanzania wote wanaumizwa na vifo vya wenzao na hasa vikiwa vya kutekwa. Pamoja na hivyo Chadema kutaka kukitumia kifo cha Ali Kibao kama gia ya kupindua nchi hakujawahamasisha watu...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna mipango yoyote Freeman Mbowe amefanikiwa CHADEMA mbali na maandamano yaliyoruhusiwa na Rais Samia?

    Kama lipo jambo litaje kwa faida ya wadau. Tangu awamu ya 5, chairman Mbowe amakua akijaribu kuongoza mipango ya jumla ya chama chake ikiwa ni pamoja mikutano ya hadhara na maandamano bila mafanikio. Ni majuzi tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuondoa katazo la maandamano lililokua limewekwa...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Wanaoshombokea maandamano Lissu, Lema, Mbowe wanamakazi nje ya nchi; wanapakwenda; wewe je

    JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

    Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Jacob anawazidi viongozi waandamizi wa CCM ushawishi na kukubalika: Maandamano yake yanazidi mapokezi ya CPA Makalla

    Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni. Idadi ya watu alioandamana nao haikutegemewa hasa ikizingatiwa alidrop kwa muda kwenye siasa za harakati akaanza kufuga kuku. Maandamano...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Busega atoa pole kwa familia iliyompoteza kijana wao katika maandamano

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA

    Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo. Vijana wengine kutoka CHADEMA ambao ambao hawajulikani walipo baada ya sekeseke la maandamano ya BAVICHA...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza). Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

    Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025 Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu. Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro...
  11. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania HABARI YA MAANDAMANO YA WAMASAI IMEFUNIKWA NA HABARI YA RPC

    Jana palikuwa na maandamano ya wamasai ya amani, miongoni katika baadhi ya malalamiko yao mengi walilalamika kwamba wanazuiwa haki ya kupiga kura ilahali wafungwa (prisoners) wanaruhusiwa kupiga kura wakiwa huko magereza. Pia wamelalamika kukosa haki ya afya bora, elimu bora, makazi pamoja...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro: Shughuli za utalii bado zinaendelea licha ya taarifa za Maandamano

    MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo kuandamana leo tarehe 18.08.2024. NCAA katika taarifa yao hiyo, imesema...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  15. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

    Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya amani yanazuiwa Tanzania?

    Hakuna sababu ya kuzuia political activity. Vijana wanalia, literally,kwa sababu wananyimwa haki zao za kikatiba. Msajili wa vyama badala ya kufacilitate political activity,yeye anataka kuizuia. CCM always kilikuwa Chama compassionate, lakini sasa kinakuwa Chama cha ukatili. Halafu EU au...
  17. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe maandamano ya GEN Z sio self initiative bali ni fedha za mabwanyenye?

    Penye uzia penyeza rupia! Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya kunyonya fedha imekatwa. Shime vijana wetu ingieni China...ingieni shambani ingieni kwenye michezo...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama taifa kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya maandamano ya amani ya kitaifa Tanzania

    ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

    Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Deusdedith Soka ametoa wito kwa vijana wote Tanzania kuungana katika kupinga vitendo vya utekaji vinavyoendelea

    Agosti 5, 2024 - Mwanaharakati Deusdedith Soka, akizungumza kwa niaba ya vijana wa CHADEMA, ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Katika mkutano na waandishi wa habari, Soka ameonesha wasiwasi kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana, akisema kwamba licha ya vijana...
Back
Top Bottom