maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Waandamanaji Nigeria wapewa mchele ili wasitishe maandamano yaliyoanza Agosti 1, 2024

    Nimena video inasambaa mtandaoni ikionesha waandamanaji Nigeria wakisitisha maandamano yao baada ya kupewa mchele. Nadhani kwa Afrika ni Kenya pekee ndiyo vijana wake wanajielewa vizuri kuliko wengine.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina ajiuzulu kutokana na maandamano Yanayoendelea

    Waziri Mkuu Sheikh Hasina ameripotiwa kujiuzulu na kuondoka katika mji mkuu wa Dhaka wakati kukiwa na maandamano makali ya kumtaka ajiuzulu Uamuzi huo umekuja ikiwa ni muda mfupi tangu Umoja wa Mataifa uitake serikali kusitisha mara moja machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yamesababisha...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Ghana Yapinga Maandamano ya Vijana

    Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi wa kusimamia usalama. Baadhi ya sababu za maandamano hayo ni kupinga rushwa katika taasisi za umma...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa Jijini London

    27 July 2024 London, Uingereza MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024 Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuleta desturi na mila zao nchini Uingereza. Tommy Robinson...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

    Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UAE yawafunga raia 57 wa Bangladesh kutokana na maandamano dhidi ya Serikali

    Mahakama katika Umoja wa Falme za Kiarabu imewapa raia 57 wa Bangladesh kifungo cha muda mrefu kwa kufanya maandamano katika jimbo la Ghuba dhidi ya serikali ya nchi yao. Washtakiwa watatu kati ya hao ambao hawakutajwa majina walihukumiwa kifungo cha maisha kwa "kuchochea ghasia katika mitaa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Bangladesh yalivyogeuka kuwa mauti, takribani Watu 150 wauawa

    Maandamano ya kupinga Serikali yamesababisha machafuko kati ya Polisi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ambapo baadhi ya Waandamanaji wanadai walitaka kufanya maandamano kwa amani lakini Jeshi la Polisi limeingilia na kutumia nguvu kubwa kutaka kuwadhibiti. Inaripotiwa vijana wengi walioshiriki...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Tanzania wapewe ajira maana ukosefu wa ajira ni chanzo cha maandamano tunayoshuhudia Kenya na sasa Uganda

    Wadau Asalam aleykum. Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji. Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya. Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli aliogopwa sana na Waandamanaji tofauti na Ruto anavyoonewa huko Kenya?

    Maandamano ya CHADEMA yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z. Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya CHADEMA waufyate Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano yetu ndani ya JF yanazaa matunda zaidi ya yale ya Gen-Z ?

    Baada ya takafuri nzito, kwa kiasi fulani maandanano yetu kupitia maoni yetu hapa JamiiForums yameanza kufanikiwa. Tunaona viongozi walio na akaunti verified JF wanajitokeza kuandika masuala ya kisera na kujaribu kushirikisha umma kwa majadiliano mfano waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Lameck...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msafiri epuka kupitia Nairobi/JKIA maandamano hadi airport?

    Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao, Hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini. https://nation.africa/kenya/news/-cabinet-tuesday-youths-plan-new-round-of-protests-ruto-4696998
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GenZ wadhibitiwe vikali vinginevyo Kenya itadumaa na kusinyaa kiuchumi

    kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu.. kiufupi, madai mapya...
  13. Informer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi: Marufuku kufanya Maandamano jijini Nairobi leo Julai 18

    Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi. Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa zaidi leo na wakiwa wamepania kuelekea Ikulu. Polisi imetoa onyo kali na huenda nguvu kubwa...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

    Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya Jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu. Lengo ni kuondoka madarakani Ruto si vingine hata abadilishe nini?
  15. Chakaza

    JamiiForums Tanzania IGP Kenya Maandamano yamemng'oa Ofisini. Wakwetu matukio ya utekaji yatamng'oa lini?

    Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine. Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waliokatwa vizimba soko la Kariakoo waandamana kwenda ofisi za CCM Lumumba!

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam. Kwamba Wale waliokuwa wafanyabiashara wa soko hilo kabla halijaungua na ambao majina yao hayapo kwenye mkeka mpya, wameandamana kuelekea CCM Lumumba! Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024 Sasa sijajua...
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha KSL, Joshua Okayo, asimulia alivyotekwa nyara na watu wasiojuiikana kwa kushiriki maandamano

    10 Julai 2024 Nairobi, Kenya JOSHUA OKAYO KIONGOZI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KITIVO CHA SHERIA KWA UJASIRI, AWAANIKA WATEKAJI WAENDAO KWA JINA MAARUFU WATU WASIOJULIKANA https://m.youtube.com/watch?v=TnbsQzSTxZo&pp=ygUPT2theW8gTlRWIEtlbnlh Atekwa avikwa kitambaa usoni, ahojiwa wafadhili wa...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Mmachinga: Polisi leo hawajatupiga pamoja na watu kufanya maandamano

    “Tumeosha magari ya Polisi leo kwa maana wamekuja kuzuia vurugu bila kutumia nguvu yaani hakuna hata aliempiga mtu kofi kwahiyo tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kutuliza ghasia bila kutumia nguvu yeyote” Victor Jushua, Mfanyabiashara Simu 2000 akiongea baada ya sakata la wamachinga kugoma leo...
  19. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyojificha nyuma ya maandamano ya Gen Z na USSR kuhusishwa

    Msemaji wa serikali ya Kenya anasema kitu kama kile kile kuwa kuna usaidizi unao toka nje ya nchi kusupport maandamano " sasa hapo amekomea kusema usaidizi wa nchi za nje hajasema ni nchi gani. AGENDA NAMBA 260B Hivi unajua haya maandamano ya kenya aliyepo nyuma ya pazia ni Putin rejea...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Laiti kama Ruto angeyafanya haya kabla ya maandamano ya gen Z angeimbwa kama shujaa wa Afrika. Afrika tunakwama wapi!?

    Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote. Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuimbwa na historia kama Rais aliyejali wanyonge kwa kupunguza matumizi ya wakubwa...
Back
Top Bottom