maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano yaanza upya - Gen Z's Occupy Everywhere

    Kenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba. https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D https://nation.africa/kenya/news/gen-z-protests-persist-despite-ruto-s-olive-branch--4676434
  2. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga wafanya maandamano wakisherehekea kumsajili Chama

    ------------------------------------------------------------------------
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye akili wanauliza: Watawalawa Tanzania, wamejifunza lolote kutoka maandamano ya Gen Z Kenya. Jibu ni hili hapa chini

    1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza? JIBU: Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa .1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them 2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maandamano ya kumpongeza Ramaphosa kufanyika Mazimbu-Morogoro

    Katika kudumisha uhusiano wa Kimataifa wanachama wa Chama cha Mapinduzi tawi la Mazimbu wanakusudia kufanya maandamano ya kumpongeza mgombea wa chama rafiki ANC Kwa kupata kuchaguliwa Tena kuongoza Taifa la Afrika Kusini. NB: TAREHE 18 Julai 2024, SEHEMU NMB wami Branch - Mazimbu Campus, MUDA...
  5. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpongeza Dkt. Nchemba kwa bajeti nzuri

    Haya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr. Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akanusha mauaji ya ziada, athibitisha vifo 6, majeruhi 14 kwenye maandamano

    President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

    Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya. Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

    Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
  10. toriyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  11. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  12. Nibiru X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

    Baada kuvamia bunge kula vyakula vya wabunge kijana mmoja shupavu anaoneka kuondoka na siwa ya bungeni Kenya. Neno moja kwa huyu mwamba
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa Barack Obama ashiriki katika Maandamano, arushiwa mabomu ya machozi

    Auma Obama, dada wa kambo wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amerushiwa mabomu ya machozi na Polisi wakati wa mahojiano na Kituo cha CNN alipokuwa akihojiwa wakati akishiriki katika Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha. Akizungumzia Maandamano hayo ya kupinga Muswada wa Fedha 2024...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuifungia KTN iache kuripoti Maandamano, KTN yajibu haitaacha kuripoti taarifa zenye maslahi kwa umma

    Chombo cha Habari KTN chasema kimepokea vitisho vya kufungiwa kwasababu ya kuripoti maandamano, waambiwa waache mara moja kuripoti habari hizo. KTN wajibu na kusema hawatacha kuripoti matukio yenye maslahi ya umma kwa wananchi.
  15. covid 19

    JamiiForums Tanzania nimefatilia maandamano ya kenya nataka niwaambie ni swala la muda tu hiki kinachotokea Kenya kitaambukizwa Tanzania, Uganda, na nchi nyingine jirani

    ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
  16. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Vs Migomo Kenya

    1. Maandamano na Migomo japo vinaweza kwenda pamoja ila mara nyingi Migomo huleta suluhisho la haraka na mara nyingi Positive kuliko Maandamano. 2. Eg. Migomo ya marubani Kenya airways, Madaktari, Wahadhiri Vs Maandamano ya Gen Z.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Serikali hujifanya kiziwi haki ya wananchi ikidaiwa kwa taarifa za media au maandamano, sasa migomo ndio iwe lugha mpya kwa Serikali hadi kieleweke!

    Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima! Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha kutopendezwa na jambo fulani, na kutoa madai yao kwa njia ya vyombo vya habari au maandamano. Serikali...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya habari, mawasiliano na mitandao ya kijamii ilivyo fanikisha maandamano na mageuzi katika mapendekezo ya kodi, tozo na ushuru Kenya

    Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji... Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu.. Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kenya Dhidi ya Finance Bill 2024, Watanzania Waitamani Kenya

    Siku 3 hizi ambapo maandamno ya vijana wa KENYA yameshamiri kupinga Finance Bill 2024, huku nchini kwetu kwenye social media nimeona kuwa Watanzania wanatamqni na sisi kwetu ingetokea kama Kenya. Sijui tuna upungufu gani wa maono ila mdharau pazuri, pabaya pana msubiri PIA SOMA - Nguvu ya...
  20. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano yaingia usiku karibu na majengo ya Bunge, Nairobi (video)

    https://www.youtube.com/watch?v=HBNa9fVrapk Waandamanaji wanaendelea kuandamana kwa kuwasha moto katika Barabara ya kuelekea mzunguko wa Holy Basilica, karibu na Majengo ya Bunge. Licha ya maandamano ya mchana kutwa, Wabunge 204 wamepiga kura kupitisha mswada huo, huku Wabunge 115 wakipiga...
Back
Top Bottom