maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania USHAURI : CHADEMA IHAMISHE LOCATION YA MAANDAMANO HALAFU ISOGEZE TAREHE

    Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ijue tofauti ya maandamano na kutembea!

    Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia zaidi kwenye ujumbe . Ndiyo maana usifikirie kuzuia matembezi ni kuzuia maandamano. Kama wana...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Polisi wakisindikiza maandamano ya CHADEMA badala ya kuyaingilia

    Moja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi.. Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Hizi ndizo njia ambazo Maandamano yetu yatapita

    Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024. Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawawaaminii polisi halafu wanawaomba polisi kulinda maandamano yao?

  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo route itakayotumika katika maandamano ya 'Samia Must Go' tarehe 23/09/2024

    Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida

    Hii clip inajieleza wazi: Tanzania itajifunza lini kuuhusu ukweli huu? Kwanini Kila mtu asipewe haki yake? Kwanini kujipanga kupora haki za wengine? Kulikoni kujipanga kuchuma laana? Uporaji ni laana!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chadema watoa njia za maandamano zitakazotumika Jumatatu

    👇
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tutakavyowakimbia mapolisi siku ya maandamano

  10. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

    "OCD wa Tanga mjini nimemwambia Taarifa yetu ya Mikutano ya Hadhara tuliyowapa ina mikutano kuanzia Tar 10 hadi 24 Sep. Nikamwambia sisi tutaendelea na mikutano yetu 21 na 22 kwa kuwa HAIJAZUIWA. Jibu lake kwangu akaniambia wewe nitahakikisha namaliza huo mguu uliobaki. "Nimemwambia wacha mguu...
  11. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hamtafanikiwa kwa MAANDAMANO zaidi zaidi mnaonekana matapeli tu wakisiasa

    Husika na mada tajwa hapo juu; Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali. Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU. Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano. Ndugu Watanzania...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania maombolezo kwa maandamano ni utamaduni kutoka kabila gani hapa Tanzania?

    Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...?? Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO.... hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za nchi gani?? #KATAA WAHUNI
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kisiasa ndîo huomba Kibali Kwa Polisi. Maandamano ya wananchi hayaombagi Kibali Kwa Polisi au serikali. Boss haombi Kibali Kwa mtumishi.

    MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
  15. blogger

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haya maandamano kafanyieni Moshi.

    Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi. Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CHADEMA wameshatimiza lengo kuu la maandamano ni akili kubwa imetumika, polisi wanahaha.

    Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua. Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo. Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

    Ujomile musani!. Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23. Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar. Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro. Hebu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kipi rahisi kati ya kuzuia maandamano na kumwajibisha IGP, Waziri Masauni?

    Salaam, Shalom!! Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi, 1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji. 2...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Pande mbili: Yaani Serikali na CHADEMA, vitafakari Kwa makini, athari zitazotokea, iwapo maandamano hayo yaliyoandaliwa na CHADEMA yatafanyika

    Hadi sasa inaelekea Kuna mvutano mkubwa Kati ya serikali na CHADEMA, kuhusu maandamano ya amani, yaliyopangwa na CHADEMA tarehe 23 mwezi huu, kama serikali itakuwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao na haitaeleza walipo viongozi wao wa vijana, akina Deusdedit Soka na...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa kile chama kinaonekana kujihusisha na wanajeshi (JWTZ) wastaafu, nashauri pia shughuli zao za maandamano JWTZ wasiwe wanakaa mbali.

    Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi. Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama...
Back
Top Bottom