Nimekaa nikatafakari, nikagundua haya maandamano ya 9D ni myego mkubwa sana kwa pande zote mbili, serikali na Gen Z wote.
1 Gen Z tusipoandamana kama tunavuohamasishana mitandaoni, au serikali ikifanikiwa kuzima au kuzuia hayo maandamano, maanake Gen Z tutakuwa tumepoteza pambano...