maandamano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

    Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
  2. Its Tesha

    PostGE2025 Point to Note: Watanzania wengi hawawezi maandamano ya Amani wanaona mabango ni mazito kuliko mitungi ya gesi

    Hata kama polisi wakitoa kibali, ukweli ni kwamba Watanzania wengi hawapendi kuandamana kwa sababu wanaona maandamano yamekuwa fursa ya wizi na uporaji. cocastic Ndiyo maana niliwahi kusema kuwa waliokuwa wakiandamana wengi wao walikuwa vibaka na wezi, hasa hapa mjini Dar es Salaam, wakati...
  3. Scared

    Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

    Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda Kama mmekosa kazi za kufanya...
  4. Mshana Jr

    Mtego wa maandamano ya amani leo D9

    Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili maandamano haya yawe ya amani na kusiwepo uharibifu wa mali na miundombinu.. Vibaka na wezi wameshapewa onyo...
  5. TODAYS

    PostGE2025 09.12.2025 wasipozima intaneti itakuwa ni kwasababu hii hapa

    Ulimuswano Mwanaweswe!. Moja kwa moja kwa mada. Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania. Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa, kijamii na kimaendeleo. Ila kuna fungu la walio wachache wanakaza. Kufuatia hilo 29.11 ilikuwa siku yao...
  6. M

    Agents Provocateur: askari kanzu wanaojipenyeza kwenye maandamano ya amani kufanya vurugu ili kuyachafua na kuhalalisha nguvu kubwa ya vyombo vya dola

    1. Wanachofanya Hujipenyeza kwenye mikusanyiko ya watu wanaokusudia amani. Huanza kuhimiza vurugu, uharibifu wa mali, au vitendo vya wizi. Hubadilisha taswira ya maandamano kutoka amani kwenda fujo. Hutoa mazingira ya kuhalalisha matumizi ya nguvu kali. Kukusanya taarifa za viongozi wa...
  7. A

    KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  8. Genius Man

    Uzi maalum wa ratiba ya maandamano ya amani #D9 kwa mkoa wa Dar es salaam

    Mwongozo Muda wa kukutana ni saa moja kamili asubui, Vitu vya msingi 1, Vaa mavazi mepesi ya mazoezi na uwe na maji ya kutosha, 2, Beba bendera ya nchi na bango kama hauna sio lazima, 3, Kuwa na pesa ya akiba kwaajili ya usafiri au chakula, 5, Zingatia namba nne.
  9. Scared

    PostGE2025 Kwa akili yenu mnafikiri rais wa Tanzania atatoka madarakani Kwa maandamano ya amani

    Yaani unajua Kuna watu wanataka kuponza wenzao huku wao wakiwa chumbani wamejificha huko ulaya. ivHi mtu kama mange alietuaminisha jeshi uchwara lipo na sisi anatuambia tutoke Kwa amani yeye akiwa kajificha chumbani ulaya Yaani kabisa jitu linasema andikeni mabango muandamano ni ya amani...
  10. safuher

    Hayawezi kuwa maandamao ya Amani, kama Polisi hawatotoa Ulinzi

    Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu. Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha maandamano wasifanye uhalifu ndio maana sasa POLISI HUTAKIWA KUTOA ULINZI KWA WAANDAMANAJI. Kusisitiza peke...
  11. Scared

    Huwezi kukomboa nchi Afrika wa mabango

    Nadhani mmeona kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 3 Sasa nimeona watu wanasema eti tarehe 9 wanaenda kuchukua nchi yao my friend tanzania jeshi lipo na mtawala polisi wapo na matawala usalama wa taifa wako na mtawala. Hawa wote wanapenda wananchi wanavyouliwa na wao pia wanashiriki Kwa...
  12. Kubwjing

    Kuandamana kwa amani na mabango yenye ujumbe bila uharibifu wowote, si haki ya wananachi?

    Asalaam Aleykhum Warahmatullah Ndugu zangu naomba kuuliza, Hivi katika nchi inayojulikana kuwa ya Kidemokrasia na kitovu cha Amani, yaani TANZANIA, Je hakuna haki ya Wananchi wake kuandamana hata kama wana hoja za msingi za kuaddress? Nimeuliza hilo swali kwasababu kuna baadhi ya Watu...
  13. MamaSamia2025

    Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  14. Yoda

    Idara za polisi Marekani zapongeza na kuridhika na maandamano ya amani ya "Hakuna Mfalme Marekani" dhidi ya Trump

    Idara mbalimbali za polisi Marekani zimepongeza na kuridhika na jinsi ,aandamano makubwa yaliyopewa jina la Hakuna Mfalme Marekani mahususi kupinga ukiukwaji wa katiba unaofanywa na rais nchi hiyo Trump yalivyofanyika kwa amani bila vurugu au ukamataji wowote. Polisi wamewasifu waandamanaji...
  15. Its Tesha

    GE2025 Maandamano ya Amani ya Watanzania Wanaoishi Marekani kufanyika Leo Oktoba 17, 2025

    Mapema leo nchini Marekani kunatarajiwa kuwa na maandamano ya amani ambayo yatafanywa na watanzania waishio Marekani wakihitaji mambo kadhaa ambayo pia yanaendana na mahitaji ya ya maandamano ya Oktoba 29, 2025. Kesho tutafanya maandamano ya amani mjini Washington DC kwa ajili ya: Demokrasia...
  16. pulex

    Group la Discord kuelekea maandamano ya amani na ya kikatiba October 29

    Kufanikisha siku ya ukombozi ya October 29 kupitia maandamano ya amani na ya kikatiba basi tujiunge na group la Discord kupitia link iliyopo hapo chini kwaajili ya kujiorganize na kupeana motisha kwani tumeona uko Nepal, Morocco na kwengine, Discord imekuwa njia rahisi na pekee ya kuaminika...
  17. canular

    Watanzania Amkeni kumekucha

    Watanzania wenzangu, tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Tumekuwa tukililia haki zetu kwa muda mrefu, lakini viongozi wameendelea kutunyima na kupora utajiri wa taifa letu. Sasa, ni muda wetu kuonyesha dunia nzima kwamba tumechoka kudhulumiwa na kutawaliwa bila haki...
  18. Damaso

    GE2025 Baadhi ya Vijana walioaga kuelekea maandamano ya amani Oktoba 29, 2025

    Hizi ni baadhi ya picha za watu ambao wameshaweka bayana kuwa wataingia road kukiamsha. Huko Tiktok kimeshanuka balaa, watu wanaonesha msimamo wa ajabu sana. Kama nawaona maafisa usalama wanavyowatazama na kujiandaa kwenda kutoa roho za watu ili kutetea masilahi ya viongozi.
  19. Carlos The Jackal

    Niwaombe TEC , kwakua CCM ni Sikio la Kufa , TEC itoe waraka Rasimi kuwataka Waumini kutoshiriki Uchaguzi au Maandamano ya Amani

    CCM Kwa aina ya Maisha yao ya nyuma na Sasa, Hofu kuhusu nini kitakachotokea mbeleni ndio inayowafanya wawe wagumu wa Mioyo Kuruhusu Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Ofcoz Kuna mambo ambayo ni lazima yajulikane ilikuaje kuaje tukafikie hapa , Mauaji ya Mzee Kibao, Tundu LISSU Kupigwa Risasi...
  20. Tlaatlaah

    NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
Back
Top Bottom