maandalizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  2. Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
  3. U

    Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  4. Materials za maandalizi ya Interview za PSRS UTUMISHI (Civil Engineers)

    Habari ndugu wana JF. Mimi ni muhitimu wa B. Eng (Civil), mwaka 2024. Nakiri kuwa sijawahi kufanya interview yeyote utumishi hata sehemu nyingine. Nawaombeni wale mabraza na dada zangu na wakubwa zangu wengine waliopo kwenye fani hii na wana uzoefu na interviews katika nafasi zinazotangazwa...
  5. R

    PreGE2025 Tume ya uchaguzi yapongezwa maandalizi uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Dkt. Yonazi ametoa pongezi hizo leo...
  6. Patajengwa world-class training ground za mpira ambazo zitatumiwa na vilabu vikubwa dunian kwa ajili ya maandalizi ya pre-season

    Nikiwa Rais kutajengwa world-class training ground zitakuwa 30 na zitakuwa zinatumiwa na vilabu vya mpira wa Tanzania, na vilabu vikubwa kama real madrid, Barcelona, man City, arsenal et.al kipindi cha pre season Incentive ambao watapewa timu ikija kufanya pre season Tanzania Wataenda mbuga...
  7. PreGE2025 Polisi Kahama wadaiwa kazuia maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA, wadai eneo limebadilishwa

    Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa maelezo kwamba eneo hilo limebadilishwa, licha ya kuwa jukwaa na mfumo wa sauti (PA System)...
  8. Kila timu inayoshiriki ligi ya mpira ya Tanzania itapewa sh billion 1 kama fedha ya maandalizi ya msimu

    Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka Multiplier...
  9. Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  10. Tupeane Updates Uchaguzi wa WHO Janab anaendeleaje na maandalizi

    Wamefikia wapi na mwakilishi wetu ambaye amechukua nafasi ambayo alitakiwa kuwa nayo Mpambanaji Dr. Ndugulile? Uchaguzi unafanyika lini?
  11. Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  12. Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

    Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa...... Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE. Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
  13. B

    Ridhiwani Kikwete: Maandalizi uzinduzi wa mwenge 2025 yamekamilika, kuzinduliwa Aprili 2, Pwan

    Mbio za Mwenge 2025 zitahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema maandalizi ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025 yamekamilika, huku kauli mbiu ya...
  14. Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!

    Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...
  15. U

    Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
  16. Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  17. Madaraja 19 yaliyo kwenye maandalizi ya Ujenzi

    Tangu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Jumla ya Madaraja makubwa kumi na tisa (19) yapo kwenye maandalizi ya kujengwa, madaraja hayo ni Daraja la Godegode (Dodoma), Daraja la Ugala (Katavi), Daraja la Kamshango (Kagera), Daraja la Bujonde (Mbeya), Daraja la Bulome (Mbeya)...
  18. T

    General OMEGA. Siri kubwa ya M23. Maandalizi ya kumkabidhi serikali ya Rwanda

    Aliekuwa kiongozi wa kundi la waasi la FDLR, General OMEGA, siku za nyuma, baada ya handaki aliyokuwemo na wenzake kulipuliwa na M23, na kusababisha vifo vya badhi ya walinzi wake, na kuhisiwa kuwa na yeye amefia katika shambulio hilo, alikamatwa na M23 na kuhifadhiwa kwa siri kubwa. Msemaji...
  19. Bukavu: maandalizi ya kujihami yaendelea

    Kama kawaida, habari ziwafikie wote mnaopenda vita(roho za wenzenu zipo juu, wengine wanakula kama hakuna kinachoendelea) Toka jana, badhi ya maeneo mengi ya Bukavu, wanaonekana wanajeshi wa M23. Wamekaribishwa kwa shangwe, Tangazo la kukomboa mji wa Bukavu halijatolewa. Chanzo nini? Tulia...
  20. R

    Utafiti wa Simbachawene,ni maandalizi ya watumishi kupungunzwa makazini au ongezeko la mishahara!!?

    Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!? Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea mahabusu aliishtukia kipindi kile!!? Wajuvi mje mjazie nyama hapa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…