maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kweli hakuna trace yoyote kihistoria au katika vitabu vya dini kuonesha sisi watu weusi labda tuna laana fulani maana tunapigika vilivyo

    Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
  2. D

    Huenda kipigo cha mwanachadema mahakamani ilikuwa kimkakati ndiyo maana media zote zimerusha

    Naomba kuwajulisha haya machache yatawasanua! Ile harassment ya wafuasi wa CHADEMA, jana (Septemba 15, 2025) ilikuwa kimkakati na ilipangwa kabisa ili kutaftia njia ya kuwashambulia kama ujumbe wa kutisha wanaopanga kuandamana! Ile haikutokea bahati mbaya, Ilipangwa kabisa ili wajae kwenye...
  3. Wasifu wa Charlie Kirk ambaye amefariki kwa kupigwa risasi huko nchini Marekani

    Charlie Kirk ni nani? Charlie Kirk (alizaliwa tarehe 14 Oktoba 1993 – alifariki tarehe 10 Septemba 2025) alikuwa mwanaharakati wa kisiasa kutoka Marekani, mwandishi, na mtangazaji wa vyombo vya habari vya kihafidhina (conservative). Alianzisha shirika la Turning Point USA mwaka 2012...
  4. Pesa, Uhuru, Muda, Furaha, na Maana ya Maisha Ndio Utajiri wa Kweli.

    Je, unakubaliana naye?
  5. GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
  6. Sehemu gani hapa mpanda nitapata pisi za maana?

    Siku ya pili niko hapa mpanda. Huu mji umepoa kichizi sana,hakuna viwanja vya maana vya kujirusha. Sehemu pekee ni Kingstone na B'eps,na penyewe hakuna jipya. Kwa wenyeji wa hapa naomba mnipe machimbo nitakayoweza kupata pisi za kusuuza rungu langu.
  7. Uhuru wa wengine ni uhuru wetu. Tukinyamaza hata humu JF ipo siku. Ndio Maana Watibeli tunahangaika. Walianza CDM wameingia CCM. Who's next.

    Habari za Sabato! Mbinu rahisi ya kuwafanya watu watumwa ni kuwafanya waone Uhuru wa wengine hauwahusu. Kuona kuonewa kwa wengine ni juu yao, ilimradi wao wapo salama basi, wengine wakionewa haiwahusu. Hiyo inaitwa Divide and Rule technique. Hakuna jamii rahisi kuitawala na kuifanya watumwa...
  8. Video: Ngumi kwenye karamu, kila mtu na wake, ndio maana wanaume tunakufa haraka

    Maustadh na mikanzu yao wanatembezana ngumi balaa
  9. Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃 Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia...
  10. K

    Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

    Za saizi wajumbe? Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani. Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana " Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
  11. Mnakumbuka Proffesa lipumba aliwai wekewa pingamizi hasingombee uraisi wakidai ni punga, Kwa maana mkewe hakuwai onekana? Je Hawa nao vepeeeee? 🤣😂

    Sina mia mbaya na wagombea ila Nina waswas yakuwa Wagombea wa VITI vya uraisi nchini Tanzania ni Masster na Mapdri walio zaa nje ya ndoa. Nataka niwakukumbushe nyie vijana wa 2000 Kuna mtu aliitwa Proffesa lipumba aliwai gombea uraisi na kuwekewa pingamizi na chama Cha mapinduzi yakuwa wanaisi...
  12. Ina maana Mashekh wao huwa hawaoni changamoto katika uongozi ?

    Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.? Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi . Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa na elimu ndogo ya kuuelewa ulimwengu.
  13. Tafadhali nyie Walumbi na Washititi wa Lugha ya Kiswahili haya Maneno Mawili ya Kimsamiati mapya ya Lugha ya Kiswahili yana maana gani?

    1. Kuvumbula, Kuvumbulwa na Kuvumbulana 2. Kipochi Manyoya
  14. Kwanini Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 haina cha maana? Majibu haya hapa

    Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy. Kwa kufanya hivyo hawatatoa fedha yoyote kwa serikali iliyopoteza legitimacy. Hivyo serikali ya Tanzania hasa ya...
  15. L

    GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa...
  16. M

    Nahisi wakati magufuli anakaribia kufariki alikuwa ametoa orders lakini watu flani walizizuia zisitekelezwe, ndio maana tulikuwa tunafichwa fichwa

    Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi. Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho. Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini kulikuwa na watu walioshinikiza zisitekelezwe kwa kuwa na uhakika hawezi kurudi. waliotaka...
  17. VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  18. GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  19. Polepole ameanza kuongea mambo ya maana ya maslahi ya nchi, sasa anaweza kutiliwa maanani

    Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo. Kwa sasa Polepole ameanza kuitanguliza nchi mbele badala ya chama, huenda huu ukawa pia ni muelekeo wa kukitelekeza kabisa...
  20. Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

    🔑 RETURN ON EQUITY (ROE) 👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?” 📌 Jinsi ya kuipata ROE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…