Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja.
Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
Wakuu, Kuna watu wamekuwa wakiwashambulia na kuwatukana akina Maria Sarungi na wenzake kwa kuhamashisha maandamano kwa kuhamashisha watu waandamane.
Mi naona ni bora hawa watu wanaowashambulia maria Sarungi na wenzake nao wahamasishe watu wasiandamane kisha watu watachagua kipi cha kufuata...
Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania
Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali.
Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
Salaam!
Huu mwaka 2025 mwanzoni Januari hali niliona itakua vizuri kutokana na jinsi nilivyokuwa napambana na matokeo napata.
Baada ya Januari, oh ni mambo yalikua sivyo kabisa hadi mwaka unakata saivi huku nikitazama notebook yangu ya malengo, naona kote 0.0%.
Kila nilichofanya, hakuna...
Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa.
---
🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba
Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi.
🇪🇺 Uropa (Eurozone)
European...
Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
Wanaukumbi.
Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ..
Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁
Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha.
Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia.
Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha...
Hamjambo wote!
1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin.
2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa.
Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani.
Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..?
Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu.
Eti wakuu ina maana gani hiyo?
Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao.
Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji.
Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana
Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti.
Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina.
Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais.
Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8.
Nani anaficha ukweli.
Hii picha waliotoa angalia
Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036)
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
adhabu
george simbachawene
halisi
hii
huruma
kiongozi
maana
msamaha kwa wafungwa
rais
rais samia
samia
samia suluhu hassan
upendo
upendo kwa watu
wafungwa
wote
Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa .
Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa.
Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...