maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu...
  2. JamiiForums Tanzania Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

    Shekhe anadai Mwamposa aliingiza million 900 siku ya mkesha wa chako ni chako katika uwanja wa Mkapa kwa kuuza udongo tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ina maana DP World imeizika kabisa Bandari ya Bagamoyo?

    Miezi mitatu tu baada ya kufariki kwa Rais wa Awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya mama Samia, ilianza mazungumzo na wawekezaji kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Juni 26, 2021 wakati akifungua mkutano wa 12 wa Baraza...
  4. JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa wamshauri Putin kumfuta kazi waziri wa ulinzi maana aibu imepitiliza

    Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote ndani ya Urusi ikiwemo hata ikulu. Some in Russia's intelligence services are calling on dictator...
  5. JamiiForums Tanzania Waraka umeanza kuleta Majibu

    Wakati Majujee wanaendelea kuwehuka badala ya kusoma hoja, taratibu wengine wanaanza kurudiwa na fahamu. Sitakua na cha kuongea, bali mjionee.
  6. JamiiForums Tanzania Mradi wa kiuchumi mnaufanya mjadala wa kidini. Hamna maana kabisa

    Haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu masuala ya kiuchumi kugeuzwa mjadala wa kidini. Kuliwahi kuwepo na miradi ya kifisadi iliyodumu na kuleta athari mbaya kwa nchi wakati wa maraisi walipita yote ilijadiliwa kwa ufisadi wake na yote yaliyofuata yalikuwa malalamiko ya kawaida tu.Huu...
  7. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Busara za wazee: Mfumo wa vyama vingi uendelee lakini CCM iendelee kutawala mpaka pale...

    Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao. Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu anayepata Uraisi afu anaanza kunawili Usitegemee jambo lolote la maana kwenye Taifa

    Asikwambie Mtu Uongozi ni kitu moja kigumu sana. Uongozi wa aina yoyote ile hata kama una ongoza watu 20 kuna challenges kibao lazima kichwa kiume. Sasa unapokuka ngazi ya uraisi ndiyo balaa zaidi nywele zote kichwani zinaweza kuisha kwa kuwa na majukumu mengi. Cha kushangaza mtu anakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii?

    Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji. Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Mo ina maana gani?

    Rais wa heshima wa Simba Mohammed 'Mo' Dewji, amewaambia wanasimba wote: "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji' Nimejiuliza hii kauli ina maana gani? Kwa nini itoke sasa? Kama ni kutoa pesa kwa nini atoke hadharani...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya Defence mechanism na aina zake

    Hellow Africa Nataka tueleweshane kidogo vitu vichache. Defence mechanism means unconciouses starteges to avoid or reduce pain. Hii ni njia moja wapo ambayo watu wengi hutumia kupunguza wasiwasi na uwoga hii defence mechanism inakusaidia wewe kupunguza hasira. Types of defence mechanism...
  14. JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Consession na lease agreements zinapoandaliwa muda huu, watendaji serikalini wakumbuke maana ya usiri kazini (confidentiality)

    Kosa la kuruhusu mkataba kuvuja na wasiotakiwa kuuona limeshafanyika na gharama ya kujitetea zimekuwa kubwa kwa upande wa serikalini. Mijadala imekuwa ni mingi kutoka kwa watu wa kada mbalimbali juu ya masuala ya kisheria. Nani alivujisha siri za serikali? Wahusika wanajuana na wameshaiona...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana ipi

    Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa na mfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi bandarini Field ya shipping. Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji I need to build relationships then marriage soon as possible lakini jibu alilonipa leo asubuhi...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  19. JamiiForums Tanzania Yanga walifanya uamuzi wa maana kuachana na mcameroon

    Nadiriki kusema hivyo kwasababu inasemakana bwana yule mahop alifika mpaka Dar akaomba mshahara wa milion 35 per month na alipwe pesa yote ya signing fee. Jaman nina maswali mengi aana kichwani kuhusu hili je ni kweli au ni propaganda za makolo? Kwanza je kuna mchezaji wa kulipwa kwa daraja...
  20. JamiiForums Tanzania Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Kama kuna mikutano inayozungumzia mikataba mibovu basi kusiwe na ubaguzi.Muda umefika sasa wa kuitaja mmoja mmoja. Mengine irekebishwe na mingine ipo haja ya kuvunjwa mjoja kwa moja Mpaka sasa wale wanaokosoa mkataba wa bandari naona wamekaa kimya kwa mkataba ule wa kanisa na serikali wa mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…