maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini maana ya rangi ya weather guard

    Rangi iliyoandikwa Weather Guard ni aina ya rangi maalum iliyotengenezwa kwa ajili ya kupaka sehemu za nje ya majengo, hasa kwa lengo la kulinda ukuta dhidi ya hali mbaya ya hewa kama vile mvua, jua kali, unyevu, na vumbi⁽¹⁾⁽²⁾. Hii rangi mara nyingi hutengenezwa kwa kutumia acrylic copolymer...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Siyo Kipaombele Cha Mamilioni ya Watanzania ndio Maana Ajenda Hiyo Haiungwi Mkono wala Kuzungumzwa Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani . Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya sanamu ya Rage ninashauri sanamu ya Mangungu ijengwe pia, Mtu wa maana kabisa

    Au mnasemaje waungwana? Huyu mtu wa maana kabisa mpenda haki na amani. Tukutane JUNE 25
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

    Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo. Nchi inatakiwa kupambana na mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

    Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu IDF Spokesman Effie Defrin on Friday morning told a press conference that Iran had launched over 100 drones toward Israel...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

    Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
  10. JamiiForums Tanzania Ina maana tusiwakopeshe wazazi/walezi tazama hii video

    Video hapa chini Video hii inaonyesha kijana aliyemkopesha mama yake kiasi cha laki 5 na alipoenda kumdai, mama yake kiasi hicho ili arejeshewe, basi mama yake alianza kukumbusha mambo yake yote alivyokuwa akimuhudumia akiwa mdogo hadi kukua kwake. Kwahiyo hizi ndiyo tamaduni za wazazi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili: Akina nyundo wanaona hawajatendewa haki ndio maana wamekata rufaa

    Wakili Meshack Ngamando, anayewatetea warufani wanne waliohukumiwa kifungo cha maisha jela, amefafanua kuwa rufaa yao inayoendelea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma haitajumuisha ushahidi mpya. Badala yake, Ngamando amesema wao kama mawakili watetezi watajikita katika kueleza mapungufu...
  12. JamiiForums Tanzania Hata baada ya hili sakata la "hatuchezi tunacheza" tusitarajie jipya la maana labda kama hiyo bodi itatoka mbinguni

    Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo. Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa pointi patachimbika ni nini litaleta utofauti huko siku za usoni iwapo moja ya timu hizi itafikia kupewa...
  13. JamiiForums Tanzania Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  14. JamiiForums Tanzania Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kirefu cha CHAUMMA?

    Habari za uzima uzima wapendwa Leo nipo na swali kama linavyosomeka hapo juu mie sio mfuatiliaji mzuri wa hivi vyama vya siasa ambavyo havieleweki vizuri, sasa kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgombea urais kwa tiketi ya CHAUMA ambaye hata chaguzi zilizopita aliwahi kushiriki huyu...
  16. JamiiForums Tanzania Ijue maana halisi ya neno "Kanisa"

    Ukipita huku na kule utaona vibao vimeandikwa: Kanisa la Anglikana, Kanisa Katoliki, Kanisa la Baptist, Kanisa la EAGT, Kanisa la Pentekoste, Kanisa la SDA n.k. Je, hiyo ndiyo maana halisi ya neno “Kanisa” kama ilivyokusudiwa katika Biblia? Je, Kanisa ni jengo au taasisi? Ili kuujua ukweli, ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote. Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu. Swali linakuja: Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tupia katuni au mchoro wenye maana pana

    Weka cartoon au mchoro wenye maudhui mapana katika jamii. Ukiweza kufafanua itapendeza sana.
  19. JamiiForums Tanzania Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  20. JamiiForums Tanzania Maana ya Curaçao iGaming License

    Katika muktadha wa betting (kamari mtandaoni), neno "Curaçao" linamaanisha leseni ya uendeshaji wa kamari mtandaoni inayotolewa na serikali ya Curaçao, ambayo ni eneo la ng’ambo la Uholanzi lililoko katika Karibiani. Maana na Umuhimu: Curaçao eGaming License ni moja ya leseni maarufu zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…