maamuzi magumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Mara paah! Ndio ameingia getto utawaza nini

    WEKA MAJIBU DEADLY DEADLY PEKEE 😃
  2. JanguKamaJangu

    Wananchi wachukua maamuzi magumu kuvunja chungu waliopora kibabe watoa Siku 7 wajisalimishe

    https://www.youtube.com/watch?v=F3Hn_d8HLas
  3. Just Pray

    Msukuma: Mimi ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi, hauwezi kutoka Kenya kuja kuchochea wenzio

    Wakuu Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku Msukuma amvaa Martha Karua kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania huku akisema "ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi, hauwezi kutoka Kenya kuja kuchochea wenzio"
  4. kaputula

    Eti mtu anasifu mama kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam ni mfano wa uwezo kufanya maamuzi magumu.

    Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
  5. S

    Kuna siku watu watafanya maamuzi magumu kuliko Hamza na wasilaumiwe

    Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari. Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha. Na kwa hawa jamaa...
  6. Vamigo

    Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Ndugu zangu naandika hapa nikiwa siko sawa mtanisamehe. Mm ni mfanya biashara (wakala) WA huduma za kifedha mpaka kufikia mwaka Jana mwezi WA 3 nilikua na mtaji usipungua milion 5. Ndani ya mwezi mmoja pesa ikaanza kupukutika, nyumba ambayo ni ni flem tulipo weka biashara zetu iliuzwa Kwa mtu...
  7. funaku

    Yanga ni club ya maamuzi magumu

    Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi. Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe. HONGERA ENG Hersi. na wengine wote waliobakia. YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
  8. BigTall

    Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  9. Darcyy

    Mnafanikiwa vipi ukitakiwa kuamua maamuzi magumu?

    Wandugu huwa mnakabiliana vipi na hali ya kutakiwa kuamua maamuzi magumu ya kuumiza moyo? Mnafanikiwa vipi kuipita hiyo changamoto?. 🥺🥺 ili uwe sawa kama hapo kabla 😔
  10. T

    Tanzania ichukue maamuzi magumu ijenge kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe

    Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa. Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua. Tanzania inaweza kuzalisha umeme...
  11. W

    CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi

    Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho. Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
  12. M

    Ninakabiliwa na changamoto nyingi sana, sijui nifanye nini ili kuboresha hali yangu

    Nimepitia mengi katika maisha. Pamoja na juhudi kubwa za kusoma na kuwa na akili nyingi, bado naishi maisha magumu na yenye kudharaulika. Nina familia na watoto, lakini nahisi kama mke wangu haniheshimu tena baada ya yeye kujipatia mafanikio. Nahisi muda wowote anaweza kufanya uamuzi mgumu...
  13. T

    PreGE2025 Maamuzi magumu yapo mbele ya wana Kidon wa Tanzania

    Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika. Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa. Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu...
  14. Frank Wanjiru

    Wilson Oruma: Viongozi Simba wafanye maamuzi magumu kwa Chama

    Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa. Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku chache baada ya Chama kuubeba mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy na kuibuka na ushindi wa 6-0...
  15. Ntemii

    Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

    Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa. Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga...
  16. D

    IGP Kamilius Wambura fanya maamuzi magumu, jiuzulu

    Ninajua si utamaduni wetu mtu kujihisi hatia na kuamua kujiuzulu. Dhana ya kujiuzulu kwa Tanzania bado inaonekana kama udhaifu. Kwamba hata kama unanuka basi unakomaa tu. Unafia kitini. Lakini kwa IGP Wambura ni muda muafaka kabisa wa kujiuzulu wadhifa huo ili ubaki kuwa mtu safi. Inakuwaje...
  17. T

    Muda wa maamuzi magumu ni sasa

    Katika kitabu cha Shaban Robert kiitwacho Kusadikika, Mtunzi anashauri 'Ng'ombe kurejea zizini kusaidiwa baada ya kuvunjika marishoni, sio kosa'. CCM imevunjika, irejee zizini kusaidiwa ili kusonga mbele. Maandalizi ya uchaguzi wa 2025 ni sasa hivyo kama chama tufanye maanuzi magumu ili...
  18. mwanamichakato

    Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

    Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu. Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
  19. C

    JKT Ruvu kama hamkuwa tayari kupokea watoto wetu kulikuwa hamna haja ya kusumbua wazazi

    Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo...
  20. T

    Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

    Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia. Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale...
Back
Top Bottom