Hapa ni pale ambapo mambo ya utani sio tu yataonekana bali yataonekana kutendeka. Watanzania wanatumia utani katika kufanikisha na kurahisisha maisha yao, kufikisha ujumbe mzito kule unakotakiwa ufike hata kama uwe mbaya, waaibu au wahatari kiasi gani. Uko utani wa makabila, kisiasa na michezo...