maagizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maagizo 8 ya Rais Samia kwa Wateule wake

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wateule wake kuzingatia maeneo manane ya msingi, ikiwamo kujiamini katika utekelezaji wa majukumu yao. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2023 katika mkutano wa faragha kwa mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu...
  2. N

    Maagizo 9 aliyotoa Rais Samia kwenye ziara yake Mkoa wa Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo tisa katika ziara yake mkoani Manyara ikiwemo kusisitiza kwamba 1. Serikali itaendelea kukopa kwa lengo la kuchochea maendeleo ya haraka. na alisema kuwa maendeleo ni gharama na kuyafikia kunahitaji njia mbili ambazo ni kodi na mikopo hivyo alitutaka...
  3. Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022

    Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19. Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 14, 2022, jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa serikali kufuatia maelekezo...
  4. J

    Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM Na OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa...
  5. Mbolea bei juu, maagizo ya Waziri wa Kilimo kuhusiana na kushushwa kwa bei ya mbolea yamepuuzwa?

    Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima. Lakini hadi sasa...
  6. N

    Maagizo ya Rais Samia jana Agosti 29 ni uthibitisho wa neema tuliyojaliwa Tanzania

    Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu. Uadilifu, weledi, haki za binadamu na kulinda mila na desturi za watanzania ni baadhi ya mambo...
  7. Waziri Masauni aagiza uchunguzi maiti zilizookotwa kwenye viroba

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamadi Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini waliohusika na mauaji ya watu wawili na kuwatupa wakiwa kwenye viroba. Maiti hizo ziliokotwa Agosti 11, 2022 zikiwa kwenye viroba katika kata ya Tunguli...
  8. Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
  9. Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro. Mahusiano ya wazazi yanavyoweza kuathiri watoto

    Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro, DC atoa maagizo Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya, ameagiza kukamatwa kwa wazazi wawili, Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa kwa kuwatelekeza watoto watatu huku mmoja anayesoma kidato cha nne akiwa ndiye anayewahudumia wenzake...
  10. B

    Katibu Mkuu wa CCM atoa maagizo wakati huu chaguzi ndani ya chama zikiendelea

    KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
  11. Jose Chameleon atoa maagizo ya mazishi yake

    Mwanamuziki nyota wa Uganda Jose Chameleone ametoa maagizo ya wazi jinsi atakavyozikwa kifo kitakapomjia. Chameleone haogopi kifo hata kidogo, ikiwa kuna chochote, angependa kufaidika na kifo chake. Wakati wa mahojiano na NBS, Chameleone alisema meneja wake anajua ni ibada gani angependa kwa...
  12. Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa

    Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali. Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
  13. Simbachawene, kabla hujaapishwa huko kwingine tuambie yalikoishia Maagizo yako ya kumkamata Nabii Mwingira

    Ni vema viongozi tukajifunza kumalizia yale tuliyoyaanzisha kwenye maeneo tuliyotoka kabla ya kuhamia kwingine. Mtukufu Simbachawene kwa kishindo kikuu, ulitoa maagizo kwamba Mtume na Nabii Mwingira atafutwe Popote alipo na ahojiwe kuhusiana na kauli zake kuhusu kunusurika kuuawa mara 3 na...
  14. C

    Sikiliza clip hii ili ujue a.k.a ya nyoka aliyemdanganya Adamu kule eden

    Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu. Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa? Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini...
  15. E

    Maagizo fedha za UVIKO-19 kutumia wakandarasi wazalendo ni ya kupongeza

    Nilimsikia Rais Samia akisema katika ujenzi unaofanyika watumie wataalamu na wakandarasi wazalendo. Haya ni maamuzi ya kizalendo sana na ya kupongeza sana. Hizo ndizo njia pekee za kutengeneza ajira na kukuza uchumi kwa watu wetu. Asia na Ulaya walishaanza mbinu hizo muda mrefu kwani...
  16. Je, kuna mabadiliko yoyote ya riba kwenye Benki?

    Habari ya uzima wanajamvi? Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo nililopenda kulijua kutoka kwenu.Mimi nipo kijijini kwa mda mrefu sijafika mjini. Huku niliko hakuna Benki...
  17. "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

    Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe? Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum. Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
  18. Si Matakwa ya watawala kutuletea katiba mpya. Ni maagizo ya Wananchi

    Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
  19. Tayari Sabaya amechomoka, kama alipewa maagizo toka juu ujambazi anahusika vipi?

    Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu. Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu? Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu? Kwa nini Sabaya...
  20. Rais Samia, mbona kila unaloagiza watendaji wakuu wanakugomea?

    Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza. Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao. Ulitoa agizo kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…