maagizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atoa maagizo, vizuizi barabarani vinasababisha ajali

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea utaratibu wa uwekaji wa Vizuizi na vituo vya ukaguzi barabarani bila kuzingazia tahadhari ya usalama kwa watumiaji wengine wa barabara. Waziri Mkuu amekemea utaratibu unaofanywa na baadhi ya Halmashauri kuweka vizuizi na vituo vya ukaguzi kwa kuziba...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

    Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali. Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa wapinzani: Namuomba Mungu anaetoa maagizo atangulie mbele za haki atuachie nchi yetu

    JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu.. Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama. Na kama ni mfumo, Mungu...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa maagizo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa mikoa na halmashauri

    NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025. Mhandisi...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Geita Yatekeleza Maagizo ya Waziri Bashungwa, Yakamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro

    TANROADS GEITA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YAKAMILISHA USANIFU BARABARA YA USHIROMBO-NYIKONGA-KATORO Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya...
  10. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole mafuriko ya Rufiji na Moro. Atoa maagizo haya mazito kwa BAKWATA na Serikali

    10 April 2024 MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024 RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI https://m.youtube.com/watch?v=6UqmPgp6mtY Serikali ipo pamoja na wananchi wa Rufiji na maeneo ya mkoa wa Morogoro asema...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wamepuuza maagizo ya Makonda?

    Hakuna hata waziri mmoja aliyepeleka ripoti ya utendaji kazi mpk sasa. Yupo waziri fulani yeye aliamua kumtemea mbovu Makonda kwa kusema kuwa "kuna watu 4 tu wanaoweza kumuamrisha nchi hii". Makonda ni debe tupu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makonda na Maagizo yake

    Wakuu nauliza muda ambao Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda ambazo alimpa Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi unatazamiwa kuisha lini? Je tangu agizo hilo litolewe migogoro imepungua? Na je ikidhihirika kwamba tatizo la migogoro ya ardhi bado liko pale pale...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kilichobaki sasa kwa Makonda ni kumpa maagizo Rais wetu

    Kwa tulicheza mgambo, sungusungu, scout n.k lazima tufundishwe kasomo kadogo kanaitwa Chain of command. Mdogo hupokea amri kwa mkubwa huku mkubwa na kutekeleza huku mkubwa akiendelea kuwa na authority ya kuwa na mamlaka ya kutoa amri na tena na tena. Majaliwa Waziri mkuu tayari ameshapokea amri...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Atoa Maagizo Mazito kwa TANAPA Kwenye Uapicho wa Kamishina Kuji

    Waziri Kairuki Atoa Maagizo Mazito kwa TANAPA Kwenye Uapicho wa Kamishina Kuji Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ametoa maelekezo mazito kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kulitaka libadilike ili liweze kuchangia ipasavyo kwenye uchumi wa taifa kuipitia...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoriki linaelekezwa wapi ikitokea Papa kapingana na maagizo ya maandiko

    Kauli za Papa akiwa kwenye kiti chake cha mamlaka ni Extracathedral (hazipingiki wala kazigeuziki). Hii ndio sababu unapaswa kuwa makini kujua kauli amezitoa akiwa wapi? Mfano kuna kipindi alitoa kauli tata akiwa anahojiwa kwenye ndege baadhi ya wananzuoni wa kidini wakatetea kusema hayo ni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa yanapuuzwa?

    Kuna Madai kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa maagizo anayotoa kwa mamlaka za serikali yanapuuzwa na hayatekelezwi na hivyo kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu na nimesikia baadhi ya watu wakiwashawishi wabunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye kwa kushindwa kusimamia majukumu ya...
  18. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Kwa haya maagizo ya Mungu juu ya Taifa la Israel (1 Samweli 15: 2-3) Kanisa halina budi kuomba

    Ndugu watu wa Jf amani ya Bwana ikae nanyi. Awali ya yote naomba ninukuu 1Samweli 15: 2 - 3 iwe ndio msingi wa mada yangu. 2 - Bwana wa majeshi asema hivi "Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatendea Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri." 3 - "Basi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Makonda anatoa maagizo mazito kila siku, ni lipi limetekelezwa hadi sasa au ni maigizo?

    Wanabodi, Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Maagizo matano yametolewa na katibu Mwenezi Taifa wa CCM Mkoani Geita

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda (@baba_kegan) amesema CCM imetoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili kuboresha maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Bwanga...
Back
Top Bottom