maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
  3. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua Impact ya wasanii wetu wanaovaa kinyume na maadili kwenye Mikutano ya Kitaifa

    Kuvaa nguo zisizo za heshima ni moja ya sifa za wanamuziki wetu. Wote tumeona na tunaangalia TV chanel zetu za ndani. Siyo vyema kusimulia zaidi kinachoonekana kwenye miili ya wanamuziki hao ambacho kimaadili hasa ya Kitanzania, hakikupaswa. Tuje kwenye mada. Ninaomba kuelezwa na mtu yeyote...
  4. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  5. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Profesa Jean Messengue wa saikolojia , adai kushuka kwa maadili ya wanawake Afrika , chanzo cha vijana kutokuoa, Asema kufika 2030 ndoa zitakua hazipo

    Kwa mtazamo wake Profesa huyo wa ivory coast akijibu maswali mbalimbali kwenye redio moja amenena hayo, Adai wanawake Kutokua na adabu na kuiga umagharibi ni chanzo cha kuharibu taasisi ya ndoa Afrika. atabiri kufika 2030 ndoa zitakua hazipo na kama zitakuepo ni kwa uchache Sana. Atoa wito kwa...
  7. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania "Mama anatosha" Ni ukosefu Mkubwa wa Maadili wa Vijana wa sasa

    Unapata wapi Ujasiri wa kumwambia Baba yako kuwa Mama yako anatosha asiongeze mwanamke mwingine? Zamani ilikuwa ngumu sana kuona au kusikia jambo kama hilo. Jamii nzima itakushangaa. Kwa Wamila au Waislamu wanaruhusiwa wake mpaka wa 4. Wewe unaanzaje kumwambia babayo kuwa mama yako anatosha...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wenje: Nasikitika kwa sababu Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya CHADEMA ameshindwa kusimamia maadili

    Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti Ezekiah Wenje amesema anasikitishwa sana na kushindwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CHADEMA (Tundu Lissu). Amesema tokea ashike nafasi hiyo hajawahi kuitisha hata kikao kimoja cha kamati hiyo ya maadili na hivi sasa kuna watovu wa nidhamu wengi...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ukifanya kazi zaidi ya miaka 10 na huna kiwanja au nyumba hayo sio maadili

    Katibu Msaidizi Sekretarieti ya Maadili Kanda ya Kusini, Bw. Filotheus Manula amewaambia Viongozi wa Umma kuwa Maadili kwa kiongozi wa Umma hayapimwi kwa kiongozi kuwa masikini au tajiri, kwani kiongozi anaweza kuwa masikini na akawa hana Maadili na kiongozi anaweza kuwa tajiri na akawa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lugha za baadhi ya madalali wa nyumba mitandaoni hazina maadili na huweza kuleta athari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Maadili tunayoyaamini yanatokana na kitu gani?

    Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili. Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa. Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake? Kwani Baba, mama, kaka au dada, si...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Malezi mema ndio msingi wa maadili mema

    Jamii Imetakiwa Kuwa na Mashirikiano Katika Kulea Watoto Ili Kuwakuza Katika Maadili Mema. Ushauri huo umetolewa na katibu wa kamati za maadili kutoka Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA Abdallah Mnubi Abass wakati akizungumza na wanawake wa kiislamu huko tomondo mshelishelini Wilaya ya magharibi...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vyombo vya habari vinakiuka maadili!!

    #7.0 Uingiliaji wakati wa majonzi na mshituko# Katika kushughulikia masuala ya kijamii ya hali ya kushtua au hisia kali kama vile ukatili, kutumia nguvu, matumizi ya dawa za kulevya, ufuska, maneno machafu, waandishi wa habari watawasilisha ukweli, maoni, picha na michoro kwa uangalifu...
  14. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Je ni rahisi kupatikana kiongozi bora kwenye jamii sio kuwa na maadili na uwadilifu?

    Habari wanajamiii forum, ! Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi, Ila utawakuta wenye uwafadhali...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili Waziri ameandika; "Kwani huyu mashalove ambaye kila siku mnamtaja taja humu link yake Iko wapi tuone yaliyomo? Maana Kila...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kuigiza kama wanawake. Hii ni moja ya kichochoze wa kuvunja maadili

    Nina kereka sana kuona vijana wengi wa kiume kujiwekea utamaduni ambao kwangu na utafsiri kama kuongeza matukio ya kuvunja maadili ya Kitanzania ikiwemo 'ushoga'. Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mfano Tiktok Instagram au Facebook unakutana na video za vijana wa kiume wakiigiza kwa...
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mwalimu wa dini ambaye pia ni Daktari wa Viongo akamatwa kwa tuhuma za kubaka watoto

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limemkamata na kumfikisha mahakamani Haruna Ayubu Rubai (63), Mwalimu wa dini ya Kiislamu na Daktari wa viungo anayemiliki kituo chake cha mazoezi ya viungo Bukoba mjini kwa tuhuma za kubaka watoto. Mtuhumiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Oktoba 19 mwaka huu saa saba...
  19. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Naweza Kudumu Kwenye Siasa Bila Rushwa? Maadili Yangu Yananizuia au Yatanisaidia?

    Ndugu zangu, Nimekua nikijiuliza jambo zito Je, mtu anayeishi kwa kusema ukweli, kuchukia rushwa, na kushikilia maadili anaweza kweli kusimama imara kwenye siasa zetu za sasa? Mimi ni mtu ninayethamini haki kuliko kitu chochote. Nachukia rushwa kwa nguvu zote, kiasi kwamba hata kama ningepewa...
  20. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

    Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima. Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa...
Back
Top Bottom