Maabara ya Taifa inajihusisha na kufanya tafiti pamoja na upimaji wa magonjwa ya mlipuko Kama Corona n.k.
Kipindi hi Cha Corona ndiyo wanaohusika na kupima wagonjwa na wasio wagonjwa.
Msafiri yeyote anayetaka kutoka nje ya nchi hairuhusiwi kupanda ndege mpaka awe na Cheti kutoka kwa Hawa jamaa...