lukuvi

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Unaodaiwa kuwa “Waraka wa Shura ya Maimamu” kwa Gwajima na Lukuvi

  2. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Kunduchi: Wapimaji Ardhi wakiuka agizo la Waziri Lukuvi

    Habarini wapendwa," Nimepita jana maeneo ya kule Kunduchi /Meko/Mtongani, kuna upimaji wa maeneo yaliyo jengwa na viwanja baada ya kurasimishwa, tatizo nililoliona kuna utapeli unafanyika. Mhe. Lukuvi alitangaza mwaka Jana mwezi Aprili kuwa gharama za kupimiwa kiwanja ni TSH 150,000/= Sasa...
  3. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi aagiza Hati za Ardhi kutolewa ndani ya wiki moja

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeeo ya Makazi William Lukuvi ameagiza kutolewa Hati za umiliki wa ardhi ndani ya wiki pamoja pale mwananchi atakapokuwa amekamilisha taratibu zote za umilikishwaji ardhi. Aidha, ameagiza wananchi kupatiwa hati zao za ardhi katika halmashauri waliolipia gharama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lukuvi, mbona ofisi za kila mkoa ulizozifungua kumaliza taratibu za umiliki wa ardhi hazifanyi kazi? Bado tunalazimika kwenda ofisi za Kanda na Dar

    Ulitutangazia na tukakuona kwenyeTv ukisema kuwa process/procedure zote za umiliki wa ardhi ( kiwanja/viwanja) zitamalizwa na mkoa (ulianzisha ofisi za ardhi kwa baadhi ya mikoa) bila kwenda Dar/ Moshi/Mwanza kwenye kanda kama taratibu za zamani zilivyo kuwa. Leo naona bado utaratibu wa...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi kwanini hati za watu halali kabisa lakini kupata mpaka kutoa hongo (hasa mikoani)?

    Mh. Lukuvi, nianze kwa kukupongeza kwa kazi nzuri mkuu. Kumekuwa na hili suala sugu kama sio ugonkwa sugu wizara yetu, wapo wengi wanalipa kila kitu kupata hati zao wanatajiwa wahonge pesa kubwa, shida nini zaidi? Unaweza kufanya uchunguzi wako binafsi; utajiridhisha na hiki nachoandika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd. Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

    Sijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomani
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

    Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu. Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lukuvi aanika dhuluma maofisa mikopo benki

    Waziri huyo ameeleza jinsi ofisa mikopo wa benki moja jijini Dar es Salaam, alivyojipatia nyumba tano kutokana na kudhulumu wateja. Alikuwa akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huduma ya utoaji mikopo ya muda mrefu ya ujenzi wa nyumba inayoitwa ‘Nyanyua Mjengo, inayotolewa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Lukuvi unakwama wapi Rais Magufuli akusaidie?

    Miongoni mwa mawaziri wachapakazi katika serikali ya awamu ya tano, William Lukuvi hana upinzani. Hata kuna wakati Fulani alifikiriwa kustahili kuwa mrithi wa Magufuli au hata uwaziri mkuu. Katika Wizara ya Ardhi amesaidia kutatua matatizl na kero nyingi sana mfano: Migogoro ya ardhi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Lukuvi ina taarifa jinsi ‘Wapangaji‘ wa Nyumba ‘tunavyonyanyaswa‘ na wenye Nyumba?

    Yaani hadi najuta sijui ni kwanini nimekuwa Mpayapaya/ Masikini/ Mbayuwayu hivi kiasi kwamba miaka yangu nenda rudi nashindwa kupata Kipato cha hata Kununua tu ‘ Simenti ‘ mfuko Mmoja ili name nianze Ujenzi wa Kujenga ‘ Kakibanda ‘ Kangu niondokane na ‘ manyanyaso ‘ ya ‘ Kimakusudi ‘ kabisa...
  12. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Hivi unapohitaji uthibitisho wa kiwanja inachukua muda gani baada ya malipo mh Lukuvi tunahitaji msaada wako

    Wenye uelewa wa hili swala bahati mbaya niko mbali na mjini mpaka jumatatu. Unapotaka kujua uhalali wa kiwanja cha mtu kuna malipo yanafanyika ili upewe barua. Kiuhalisia wanachukua muda gani maana kuna usanii unatokea mkoa mmoja kaskazini sasa inaenda wiki ya pili na pesa zishalipwa na...
  13. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Lukuvi aagiza kufutwa mashamba pori 21

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameagiza mashamba 24 yaliyoko Kilosa mkoani Morogoro kupelekewa ilani ya kufutwa kutokana na kutoendelezwa Lukuvi alitoa agizo hilo jana wilayani hapa alipozungumza na uongozi wa Wilaya ya Kilosa na watendaji wa ardhi katika wilaya...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Mh Lukuvi, Kamata kamata ya Wakulima ktk Shamba namba 7 ktk kijiji cha Mambegwa Kilosa inaumiza wakulima

    Ndugu wana bodi Kumekuwa na kamata kamata ya wakulima wanao lima shamba namba 7 ambalo lipo ktk kijiji cha Mambegwa wilaya y Kilosa. Inasemekana kuwa shamba namba saba amepewa muwekezaji mwaka 2015,na amepewa karibia ekari 1300. Cha kushangaza ni kuwa, wakulima wao wanasema waligawiwa mashamba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Urasimishaji wa Ardhi - namna zuri ya kuliongezea uharaka na ufanisi

    UTANGULIZI: Kwa muda sasa serikali imetangaza kuendelea na zoezi la urasimishaji ardhi kwa maeneo yasiyopimwa (squatters). Kufanikisha hilo, serikali imekuwa ikishirikiana na makampuni binafsi ya ardhi kufanya sehemu kubwa ya kazi hizo. Watu katika kampuni hizo wanalipwa kutoka kwa michango ya...
Back
Top Bottom