Wabunge wote wa CCM wanaoandikisha majina kutaka kuzungumza wanafuatwa au kuitwa na Lukuvi na kuulizwa wanataka kuzungumza nini, ili kama kuna chochote ambacho hakiendani na wanachokitaka wenye mamlaka, Mbunge aelekezwe nini cha kufanya.
Baadhi ya Wabunge wakongwe wameonekana kugomea wito huo...
Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge.
Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi, ameibuka mshindi wa kishindo katika mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, akiwashinda wagombea wenzake kwa tofauti kubwa ya kura.
Huku wananchi wa Kihorogota na...
Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine waliopitishwa katika mchakato wa kura za maoni, bado chaguo lao linaelekea kwa Lukuvi kutokana na kazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa William Lukuvi Bado yupo kwenye mbio na mchaka mchaka wa kukimbizana na vijana kuutafuta ubunge, bado anaona kuna mambo bado hajakamilisha vizuri kwa wapiga kura wake ,bado anaona kuna wajibu anaotakiwa kuutimiza kwa wapiga kura wake ,bado anaona anazo nguvu...
LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v
"Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.
Lakini sasa... INATOSHA!"
William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu kwa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Alichaguliwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 –...
March 03, 2021 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi wenye migogoro wakiwa na mafaili yao wakimgoja
https://youtu.be/PLB-XqPExaw?si=AdcohQCGURhzOvbl
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili...
Naongea na mheshimiwa Lukuvi uliyeongoza ujumbe mzito na wenye matumaini Kwa watu wa Ngorongoro. Dunia na watanzania Kwa ujumla walikuwa wanafuatilia Kila Neno ulilotamka Kwa jamii ya watu wa Ngorongoro.
Ulibeba ujumbe mzito wa Mheshimiwa Rais. Hata hivyo Nina wasiwasi na kazi nzuri uliyoifanya...
By Our Correspondent, Ngorongoro.
In a stern and resolute address, the Minister of State in the Prime Minister’s Office for Policy, Parliament, and Coordination, Hon. William Lukuvi, delivered a cautionary message to the residents of the Ngorongoro Division.
He implored them to remain...
Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena.
Hiyo inamaanisha nini?
1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka)
2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu.
Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
Lukuvi amefanya mengi sana pale wizara ya ardhi na alikuwa na maono, mipango na mikakati sahihi.
Lukuvi ndiye aliyehamisha kazi ya kutoa hati milki za ardhi kutoka wizarani na kwenda kwenye ofisi za Kanda. Haikupita muda akashusha mpk ofisi za mikoa.
Kaingia Angelina Mabula akataka kuendeleza...
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.
Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya...
Uteuzi uliofanywa juzi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwateua vigogo wanne wa kisiasa kumsaidia katika eneo la siasa na uhusiano wa Jamii umetafsiriwa ni "Kuimarisha safu kuelekea michakato ya kisiasa", hasa uchaguzi Mkuu wa 2025
Vigogo walioteuliwa juzi ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba...
Huyu Waziri namshangaa, anaacha " ombwe" la taarifa kwa nini? Anashindwa kuwaeleza wabunge mchanganuo wa posho hizo? Mpaka Benki ya Dunia wanazikubali, ni mchakato mrefu, na uchanganuzi wa wazi, anakwama wapi?
Kama yatatokea mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, namtabiria kuhamishwa wizara, au...
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Lukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita.
Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.