Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho
I. Suala la Uhaba wa Ajira
II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili
I. UHABA WA AJIRA
Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
Hivi karibuni nikiwa katika peruzi mtandaoni nilikutana na picha inayoonesha pesa za Uganda zikiwa zimeandikwa kwa lugha ya kiswahili
Swali langu Je lugha ya kiswahili inatambulika kisheria katika nchi yao , lakini naona kama wa Uganda wenyewe hawakizingatii sana kiswahili
Wana JF habari
Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
Kitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
Mwalimu na nguli wa lugha ya Kiswahili kutoka BAKITA Mzee Sigala anatuelezea maana halisi ya neno ngono
Je na wewe pia ulikuwa una elewa hivyo ukisikia neno ngono?
Soma pia: Ondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono kwa Njia Hii
OFFER. OFFER, OFFER, OFFER...
JIPATIE VITABU ZAID YA 74
Kwa nini kila siku upo kama ulivyo kwa sababu hutaki kuongeza maarifa na maarifa yamefichwa kwenye vitabu.
Kama ulikua unaihitaji kuongeza maarifa jipatie Vitabu vilivyo Tafsiriwa kutoka kwenye ENGLISH vya waandishi mbali mbali kua...
Leo Julai 7, 2025, dunia inaadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani kwa lengo la kutambua na kuenzi mchango wa lugha ya Kiswahili katika kuimarisha mawasiliano, utamaduni na mshikamano wa kijamii. Maadhimisho ya mwaka huu yamebebwa na kauli mbiu “Kiswahili kwa Amani na Mshikamano
Tangu mwaka...
MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025
Mgeni rasmi: Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri Mstaafu wa Masuala ya Usawa wa Jinsia nchini Sweden.
Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 Sundbyberg.
Tarehe: Julai 5, 2025.
Muda: 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni.
Burudani: Saa 1:00 Jioni -...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy).
Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu wa pwani katika mambo mengine mbambali mfano mapishi, "tia chumvi", "tia nazi", "tia mafuta" n.k...
Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google Translate'.
Nchini Kenya na Afrika Mashariki, Google inasema inapanua toleo lake kwenye Utafutaji wa Sauti...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
Nimemuona Chama akikizungumza vizuri kweli kweli, pia nimemuona na Aucho nae akikizungumza vyema tu ila Kubwa kuliko Mtu ambaye sikutegemea kutokana na kuwa na mambo mengi Bernard Morisson nae akikizungumza vizuri tu. Hawa ni wachache sana ila najua wapo Wachezaji wengi wa Kigeni ambao kwa sasa...
Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya.
ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania.
watu...
Ukweli ni kwamba kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa lugha ya kiswahili miaka ya karibuni. Tatizo hili lipo haswa kwa kizazi hiki kinachoitwa cha 2000 aka Gen Z. Imefika wakati hadi hawa vijana/watoto wanapoandika jambo au kuongea na wakafanya hivyo kwa usahihi ndio unashangaa. Sio unashangaa...
Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao.
Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.